Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

MIMI NAJIULIZA HIVI BODI YA FILAMU INAKAGUA HIZI TAMTHILIYA KABLA HAZIJARUSHWA KAMA ZINAVYOKAGULIWA ZA KWETU MAANA SIO TAMTHILIYA YA KUONYESHWA KABISA NI UDINI MTUPU
 
Hiyo ni historia japo wameongeza. Kusema kweli sijatazama ila kweli Constantinople ilianguka ikaja Istanbul ila hata hilo jina la istabubl bado ni jina la Kigiriki z[emoji23][emoji23][emoji23]kuanguka kwa Constantinople bado hakufanyi ukristu uanguke maana baadae wakristu walimiki dunia nzima. Hv unajua kipindi cha vita ya kwanza Waingereza walikua na machaguo mawili waisambaratishe Makka au ottoman empire. Wakaamua kuwakomesha Waturuki na kuwakabidhi al Saudi Makka ila wawashike masikio Waislamu
 
Mimi ndio maana situmii kipe king'amuzi aisee. Yani Azam ni mdini aliyepotiliza. Ni mdink mpaka anakera
 
Mtuache na maisha yetu na Dini yetu, nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu. Nyinyi kama mmeamua kuenda na wakati na mdundo ni nyinyi. Na wakati huu nadhani unafahamu nini kinapigiwa chapuo sana, ni ushoga, sasa sijui mtakwenda nao pia hivyo hivyo wazee wa kubadilika na wakati. Sisi tuacheni na dini yetu.
Fuatilia historia vizuri ujue ni kiongozi/mtume gani aliyehusishwa na ulawiti
 
Hiyo ni historia japo wameongeza. Kusema kweli sijatazama ila kweli Constantinople ilianguka ikaja Istanbul ila hata hilo jina la istabubl bado ni jina la Kigiriki z[emoji23][emoji23][emoji23]kuanguka kwa Constantinople bado hakufanyi ukristu uanguke maana baadae wakristu walimiki dunia nzima. Hv unajua kipindi cha vita ya kwanza Waingereza walikua na machaguo mawili waisambaratishe Makka au ottoman empire. Wakaamua kuwakomesha Waturuki na kuwakabidhi al Saudi Makka ila wawashike masikio Waislamu
Nimeipenda hii, tafadhali nipe source yako!
 
Nimeipenda hii, tafadhali nipe source yako!
We andika Arab revolt against ottoman. Yani Jordan ndio alishika Arab nzima sema watu wa arabia jangwani wakawapindua ndio wakachukua Saudia. Yani hiyo familia ya Saudi iliwapindua Waarabu wa Madina ikabidi wakimbilie Jordan
 
Hata wewe ungekuwa unajitambua usingeleta udini kwenye mambo serious.

Imagine wangekuwa wanafanyiwa waislam hayo mambo mngefurahi?

Kuna watu pamoja na ukongwe wenu humu jf ila akili tunafanana. Bora ungekaa kimya tu kujitunzia heshima yako.
Muislamu hata awe na PHD ila akili zao ni km punje ya mchele kwenye ku reason mambo ya Dini..haya majamaa Madini sana
 
Daah kweli binaadamu hana jema

Mkuu nani kakulazimisha ununue kingamuzi cha azam
? Si ununue ivo ambavyo havina uislamu

Then problem solved
 
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).

Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.

Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.

Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Hao mbona ni kawaida yao. Kuna yale mahubiri ya kuukashifu ukristo.
Dini ya uislamu huenezwa kwa umwagaji damu, ubaguzi na kukashifu imani zingine.
Muislam hawezi kukutendea matendo mema au kukuhubiria mema ili usilimu. Km hajakuua, atakubagua au kukufanyia jambo baya.
Achana nao si unaona tetemeko lishawapiga tayari.
 
Kuna jamaa anajiita NABII TITTO mzuieni basi huyo jamaa anatembea na misalaba na anaashiria vitendo vichafu huku anamisalaba kwenye nguo zake na ana act kashika bible

Kuhusu ving’amuzi unaweza ukaacha kulipia coz jamaa ajasema ni lazima kununua ni vilee unapenda tu ulipie au uache na kuna vitu vingi tu kwenye kile king’amuzi kuna mpaka wachungaji wanahubiri ni bora kuangalia mahudhui yanayokuvutia tu kuliko kujinyima raha
 
Back
Top Bottom