Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Rudi shule wewe, Kama haujui himaya ya ottoman basi uliishia darasa la saba B.Ni wazi lengo lao ni kuudunisha Ukristo lakini hawataweza,kwanza mimi pamoja na kuwa sio mfuatiliaji wa historia ila sijawahi sikia himaya ya ottoman ila himaya ya rumi ni maarufu na ilitikisa dunia nzima, lakini tofauti na propaganda zinazofanywa na azam tv kutuaminisha ottoman na uislam ni bora kuliko wengine.
Hiyo ni historia ya kweli kasome na wala sio mambo ya kufikirika kama unavofikiria..yaani unaijua himaya ya rumi ila ya ottoman huijui!! Acha kukaza ubongo
Unaonekana mdini sana ww yaan ni mtumwa wa kidini sana utafikiri yesu ni mngoni au mmakonde.