Baki na imani yako br. Hakuna was kukulazimisha kubadilikaHata wafanyeje kuminya haki za wakristo bado hawawezi kutuondolea imani tuliyonayo. Mungu ni mwema....
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baki na imani yako br. Hakuna was kukulazimisha kubadilikaHata wafanyeje kuminya haki za wakristo bado hawawezi kutuondolea imani tuliyonayo. Mungu ni mwema....
sababu hazijarushwa kwenye nchi yetuAngalia movie zote za waarabu na wamarekani, lazima majambazi wawe waarabu
Tena wanaonekana wale watu dini ( waislamu) wakichinja watu Kwa sana.
Mbona husikii watu wakilalama.
Hiyo ni historia ya mambo ya nyumasababu hazijarushwa kwenye nchi yetu
Fuatilia historia vizuri ujue ni kiongozi/mtume gani aliyehusishwa na ulawitiMtuache na maisha yetu na Dini yetu, nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu. Nyinyi kama mmeamua kuenda na wakati na mdundo ni nyinyi. Na wakati huu nadhani unafahamu nini kinapigiwa chapuo sana, ni ushoga, sasa sijui mtakwenda nao pia hivyo hivyo wazee wa kubadilika na wakati. Sisi tuacheni na dini yetu.
Zama zinakuja hii Azam tutafutilia mbali
Nimeipenda hii, tafadhali nipe source yako!Hiyo ni historia japo wameongeza. Kusema kweli sijatazama ila kweli Constantinople ilianguka ikaja Istanbul ila hata hilo jina la istabubl bado ni jina la Kigiriki z[emoji23][emoji23][emoji23]kuanguka kwa Constantinople bado hakufanyi ukristu uanguke maana baadae wakristu walimiki dunia nzima. Hv unajua kipindi cha vita ya kwanza Waingereza walikua na machaguo mawili waisambaratishe Makka au ottoman empire. Wakaamua kuwakomesha Waturuki na kuwakabidhi al Saudi Makka ila wawashike masikio Waislamu
We andika Arab revolt against ottoman. Yani Jordan ndio alishika Arab nzima sema watu wa arabia jangwani wakawapindua ndio wakachukua Saudia. Yani hiyo familia ya Saudi iliwapindua Waarabu wa Madina ikabidi wakimbilie JordanNimeipenda hii, tafadhali nipe source yako!
Muislamu hata awe na PHD ila akili zao ni km punje ya mchele kwenye ku reason mambo ya Dini..haya majamaa Madini sanaHata wewe ungekuwa unajitambua usingeleta udini kwenye mambo serious.
Imagine wangekuwa wanafanyiwa waislam hayo mambo mngefurahi?
Kuna watu pamoja na ukongwe wenu humu jf ila akili tunafanana. Bora ungekaa kimya tu kujitunzia heshima yako.
Haha vichekesho hivi....Mitanzania mijinga unaanzaje kutumia kighamuzi Cha Azam si upumbavu huo
Wanaigeria wangeeneza sana ukristo na zile movie zao za kuishia kanisani.Kwamba uislamu unaenezwa kwa tamthilia, mkuu una uhakika wewe ni mtanzania?.
Hao mbona ni kawaida yao. Kuna yale mahubiri ya kuukashifu ukristo.Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
DuuuuuuuhAzam na ushoga wanau promote sana kupitia movie zao... Anyways labda imani yao ina sujudu hayo mambo...
Jamaa ametoa hoja ya kiwango cha elimu ya uganda.Wanaigeria wangeeneza sana ukristo na zile movie zao za kuishia kanisani.