sawa naona akili yako imeishia hapo ....(Matusi na kashfa)...ndiyo imani yako inavyokufundisha.....Mtoto anaeweza kufanya hivyo kikweli lazima atakuwa ni mtoto wa ZINAA.
Hio ni Tamthilia. Km ile ya yule mzungu aliye act kama Yesu.
Akapigwa misumari na kuchomwa mkuki Tumboni akiwa msalabani.
Sasa wangapi ulisikia hapa Tanzania wamepiga watu misumari msalabani wakawachoma na mikuki ya TUMBONI?
ACHENI CHUKI ZA KIJINGA.
Mnachukia mpk Tamthilia? Nyie watu Chuki dhidi ya waislamu itawaletea magonjwa ya moyo.
Sasa wewe ukimsusia Bakhresa unadhani mtu mwenye viwanda East and Central Afrika atapata hasara yeye au wewe,?Ni kweli huyo ni wa kumsusia na bidhaa zake akauzie huko uarabuni.
Ndugu wagalatia tunaomba sana msituharibie swaumu.Hao jamaa ni wajinga sana yaani angalia nyuzi hizi zimetamalaki ukiangalia eti wapo kipindi cha kufunga.
Hakuna mwenye akili timamu kipind hiki ndo wanasambaza chuki sana
Bidhaa zake zipo nyingine kama hizo nyingi tu hasara inatoka wapi.Sasa wewe ukimsusia Bakhresa unadhani mtu mwenye viwanda East and Central Afrika atapata hasara yeye au wewe,?
Teh teh teh
Wivu ni sumu mbaya sana.