Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ngoja tuone anapotupelekaWengi tulijua lazima Tausi na Ombeni watakuwa wapenzii lakini Abdul alituacha apo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone anapotupelekaWengi tulijua lazima Tausi na Ombeni watakuwa wapenzii lakini Abdul alituacha apo.
Ana hatari huyu babaBila kusahau huyu mtendaji MC Donald ni hatari tupu.
Naomba unieleweshe, Abdul na Jackson kabirigi ni watu tofauti? Au kabirigi ndio director?Ana hatari huyu baba
Sawa mkuuNdiyo kabirigi ni msanii lakini Abdul ni director
Ana hatari huyu baba
Nilitaka kuandika JanaKumbe Gati ile ndoto aliota mwenyekit na mkuu wao wanamuua yule kijana kumbe ilikuwa sio ndoto ilikuwa kweli ,Ndio kaka yake na tausi maana jana Gat anamuiliza mtendaji kuhusu huyo kaka
Halaf mtendaj Ndio boss wanamuogopaNilitaka kuandika Jana
Kumbe ni kweli maskini[emoji3064]
Ina maana alikuwa anaota ndoto kitu walichokifanya miaka iliyopita.
Aisee,huyu mtendaji ni katili jamani.
Inavyoonyesha Gati atatoa siriHalaf mtendaj Ndio boss wanamuogopa
Ndio kwanza mchezo unaanza.Ila kama inakaribia kuisha iv?
Inavyoonyesha Gati atatoa siri
Tausi lazima atarudi tu kwa Masalu ili amsaidie kwenye hili sakata.
Safari hii atakamatikaWanamuogopa balaa