Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Mwenzenu leo ningejua
Hata nisingekuja kazini
Presha ipo juu juu kama nimepanda farasi
Kumbe nipo hapahapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ana hatari huyu baba

Kumbe Gati ile ndoto aliota mwenyekit na mkuu wao wanamuua yule kijana kumbe ilikuwa sio ndoto ilikuwa kweli ,Ndio kaka yake na tausi maana jana Gat anamuiliza mtendaji kuhusu huyo kaka
 
Yeah sasa sijui mwisho wake utakuwaje
 
Kumbe Gati ile ndoto aliota mwenyekit na mkuu wao wanamuua yule kijana kumbe ilikuwa sio ndoto ilikuwa kweli ,Ndio kaka yake na tausi maana jana Gat anamuiliza mtendaji kuhusu huyo kaka
Nilitaka kuandika Jana
Kumbe ni kweli maskini[emoji3064]

Ina maana alikuwa anaota ndoto kitu walichokifanya miaka iliyopita.

Aisee,huyu mtendaji ni katili jamani.
 
Back
Top Bottom