Tamu na chungu ya safari yangu ya Agosti 24, 2023 Kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

Nawe kuwa kama mwanaume. Unataka aandike kila saa kukufurahisha wewe. Pathetic.
 
Hapana, wewe ndio mke wake ndio maana umekuja kuandika vitu vya hovyo. Jitahidi uwe usafishaji uchi wa akili yako mbele za watu.
Kula malimao kwa wingi ili upunguze hiyo hali yako ya kichefuchefu inayokusumbua binti. Na pia ushukuru mume wako yuko salama.
 
Buss namba T sijui nini AZZ nawewe ukakata ticket kabisa. Hilo lilipaswa liwe limesha yeyushwa Chuma chakavu

Mabasi ya aina hii huwa hayana haraka mana yao ni kama fagio kuchukua wale abiria waliochelewa safari na wageni kwenye mabasi ya route za mikoani,mabasi haya huwa yanasimama kila kituo kuchukua abiria yani ni kama daladala.
 
Ukisoma stori unakuwa mpole sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha
 
Niliwahi kupanda bus Moja la kuitwa champion from dar- dodoma aise yaani utazani mnasafirisha msiba wa shoga, gari lipo kimya halina mzik, tv wala huduma yoyote na vioo vya Gari vipo wazi havifungi,. Usiombee ukae dirishani unaweza kudhani unaendeshwa bodaboda.. ila sikulalamika coz haya magari ni bei rahis San ndio maana huduma mbovu na mara nyingi Huwa yanaondoka mchana kuzoa abiria walio sahaulika.
NB. Ukiona bus Lina mafundi zaidi ya watatu usipande achana nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…