TAMWA: Vitendo vya ukeketaji vikemewe hadharani

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
TAMWA inatoa wito kwa viongozi mbalimbali wa serikali kuanzia ngazi ya kata hadi wizara kukemea hadharani vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike, huku tukiwashirikisha wanaume katika mchakato mzima wa kupinga ukeketaji dhidi ya watoto.

Ukeketaji licha ya kuvunja haki za binadamu pia unaleta madhara ya kimwili ikiwamo vifo na maambukizi ya magonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…