Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Nothing is easy bro...Hivi unajua gharama na risk ya kutunza wanyama mwitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing is easy bro...Hivi unajua gharama na risk ya kutunza wanyama mwitu
Why should you risk??,life is easy dont complicate bro,next time mtataka mobile guest houseNothing is easy bro...
Nothing good comes without taking risks. The higher the risk, the better the return...Why should you risk??,
Kwani kuna ubaya gani kuwa na mobile guest house katika maeneo kama ambayo yanayosumbuliwa sana na mafuriko.Why should you risk??,life is easy dont complicate bro,next time mtataka mobile guest house
U see how you complicate,maeneo yenye mafuriko haitakiwi kuishi watu au kuwabembeleza na mobile guest house,those are hazards areasKwani kuna ubaya gani kuwa na mobile guest house katika maeneo kama ambayo yanayosumbuliwa sana na mafuriko.
Mkuu, sio kila eneo linalokumbwa na mafuriko ni eneo la uvamizi. Hapana mkuu. Kuna wakati bwawa linaweza kupasuka kama ambavyo ilitokea brazil kisha maji yakatiririka mpaka katika maeneo ya makazi ya binadamu.U see how you complicate,maeneo yenye mafuriko haitakiwi kuishi watu au kuwabembeleza na mobile guest house,those are hazards areas
Rudia kusoma hapo juumaeneo kama ambayo yanayosumbuliwa sana na mafuriko.
Mkuu, sio kila eneo linalokumbwa na mafuriko ni eneo la uvamizi. Hapana mkuu. Kuna wakati bwawa linaweza kupasuka kama ambavyo ilitokea brazil kisha maji yakatiririka mpaka katika maeneo ya makazi ya binadamu.Rudia kusoma hapo juu
Kwa sasa hivi wanabeba baadhi ya wanyama pori na kuwaleta kwenye maonesho kama Sabasaba na nane nane. Ikumbukwe kwamba huwezi kumkamata simba au fisi au chui aliyepo mbugani na kumbeba au kumleta kwenye maonesho, anaweza kuleta madhara makubwa kwani hajazoea kuangaliwa na watu closely. Hawa unaowaona saba saba au nane nane huwa wametolewa kwenye Zoo au bustani za wanyama, mostly ziko Arusha. Kwa hiyo hatua ya kwanza ni kuwa na zoo nyingi kwanza za wanyama mbalimbali and then ndiyo tuende kwenye level ya kuwaweka kwenye hizo mobile zoos. Mwisho usisahau kwamba kuna changamoto ya watanzania wengi kupenda kutembelea vivutio au mbuga za wanyama let alone kulipia elfu 10 au 20 kuona mobile zoo. Yaani kwenye sikukuu mbalimbali badala ya kuona trips za watu from Morogoro kwenda Mikumi NP au Mpanda town kwenda Katavi NP etc utakuta watu wamejazana kwenye Bar na kumbi za starehe wapiga bia...Kwanini TANAPA hawana "Mobile Zoos semi trailer trucks" kwa ajili ya kubebea wanyama pori wepesi kwa ajili ya maonesho?...
Siku hizi wameacha kuwaleta kwenye hayo maonesho, na kumbuka sio kila mkoa wanawapeleka hao wanyama pori mkuu...Kwa sasa hivi wanabeba baadhi ya wanyama pori na kuwaleta kwenye maonesho kama Sabasaba na nane nane.
Kama wahehe wanakula mbwa, ambaye ni carnivores kama simba, why simba asiliwe? Sema tuu kwa lundo la wanyama wala nyasi tulionao (herbivores) na jamii ya ndege kwa nini tumle simba?Nyama ya simba inaliwa na binadamu mkuu?
Yuko very pro active, akili yake hailali, angesomea mambo ya mipango miji au uchumi angekuwa na msaada sana kwa taifa letu. Unajua kuna watu serikalini wanamaliza 5 years bila kuja na any constructive advice au solution to our many problems facing our country.Nakukubali Sana soldier ningekuwa na uwezo ningekupa cheo unafaa sana kuwa hata ofisa wa ngazi za juu utumishi
Watu wanaenda mwezini na kurudi, kule Singida fisi watu kibao wanawafuga,Wanyamwezi wanaofuga chatu, India Tembo wanabeba watu, na Nyati wanabeba mizigo na kulima, hapa duniani nothing is impossible....Hivi unajua gharama na risk ya kutunza wanyama mwitu au unaongea
Yes [emoji106][emoji106]... Kuna msemo... "uwoga wako, umasikini wako"Nothing good comes without taking risks. The higher the risk, the better the return...
Hao wanyamwezi na wasukuma ni wachawi tuWatu wanaenda mwezini na kurudi, kule Singida fisi watu kibao wanawafuga,Wanyamwezi wanaofuga chatu, India Tembo wanabeba watu, na Nyati wanabeba mizigo na kulima, hapa duniani nothing is impossible....
Hahahahahaaa, mkuu wakikusikia wenyewe watakupiga aiseeHao wanyamwezi na wasukuma ni wachawi tu
HakikaYes [emoji106][emoji106]... Kuna msemo... "uwoga wako, umasikini wako"
Waswahili husema "Penye nia pana njia"Watu wanaenda mwezini na kurudi, kule Singida fisi watu kibao wanawafuga,Wanyamwezi wanaofuga chatu, India Tembo wanabeba watu, na Nyati wanabeba mizigo na kulima, hapa duniani nothing is impossible....
Asante mkuu. Ninakaribisha mnikosoe pia (Constructive Criticism)Yuko very pro active, akili yake hailali, angesomea mambo ya mipango miji au uchumi angekuwa na msaada sana kwa taifa letu. Unajua kuna watu serikalini wanamaliza 5 years bila kuja na any constructive advice au solution to our many problems facing our country.