Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Duh fisi alivyo mlafi hatafuni watuWatu wanaenda mwezini na kurudi, kule Singida fisi watu kibao wanawafuga,Wanyamwezi wanaofuga chatu, India Tembo wanabeba watu, na Nyati wanabeba mizigo na kulima, hapa duniani nothing is impossible....