TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

MBONA KAMA NI UONGO INAMAANA FARU JOHN ALIZAA AKIWA NA MIAKA KUMI NA MOJA.???

MAANA FARU JOH ANGEKUWEPO ANGEKUWA NA MIAKA 54, HIVYO AMEMPITA MWANAE KWA MIAKA 11 TUU
 
Mkuu, Jpm alikuwa na makosa mengi lkn msimamo wake ulisaidia mengi.

Ujangili ulikwisha sasa???

Uzembe ulipungua..sasa???

Matapwli na mafisadi yamerudi upya mjini
Yamerudi kwa wingi yani yanahakikisha kila sehemu yanabinua binua
 
John anaweza kumzaa Rajabu,
John kazaliwa mwaka sabini na tisa ni sahihi mpaka leo awe na miaka 47
 
Kuna muda Dunia haiko fair kabisa

Yaani ulimwengu mzima unajua faru Rajabu amekufa

Wakati siku Kuna binadamu chungu mzima wanakufa na hawajulikani

Kweli acha watu wagombane kuusaka umaarufu
Ni kawaida sana hiyo.
Kuna msemo unaosema,"Mbwa kum-uma bainadamu hiyo sio habari,... Habari ni pale binadamu akim-uma mbwa"
 
Back
Top Bottom