Tanasha atua nchini, gari la Diamond lampokea

Chanzo mojawapo Cha stress Kama ni mimi nakata mawasiliano kabisa, dah zari alikuja akajiona so special sasa tanasha kaja Kati ya wanawake wakuhurumiwa ni hawa waliozaa na diamond aisee
Usisahau Zari ana machungu yake. Hili ni jambo dogo kwake
 
Yaan mim siwezi mpenda mtu amezaa na wanawake wengi atleast awe amezaa na mwanamke mmoja tu jamani
Wakizidi hapo siwezi
Shida sio kuzaa na wanawake wengi, shida ni huyo mwanaumw akiwa worth $6 Million na nchi na ulimwengu mzima unamjua. Hapo ndipo wenzio walipokwama.

Kwa mie kajamba nani sina jina mjini wala pesa za kuzidi ni rahisi kufanya maamuzi ya kunipiga chini. Najua utabishana ila nimeamua kwenda straight to the point. Mwanamke hakuzalii kama huna kitu special kwenye jamii, either respect, money or fame!
 
Mkuu umemaliza kila kitu.
Hao wanawake wanaongea tu hakuna anayeruka mbele ya hela.
Wakishaona mkwanja wanasahau kila kitu
 
Back
Top Bottom