Tanasha atua nchini, gari la Diamond lampokea

Tanasha atua nchini, gari la Diamond lampokea

Chanzo mojawapo Cha stress Kama ni mimi nakata mawasiliano kabisa, dah zari alikuja akajiona so special sasa tanasha kaja Kati ya wanawake wakuhurumiwa ni hawa waliozaa na diamond aisee
Diamond mjinga sana
 
Shida sio kuzaa na wanawake wengi, shida ni huyo mwanaumw akiwa worth $6 Million na nchi na ulimwengu mzima unamjua. Hapo ndipo wenzio walipokwama.

Kwa mie kajamba nani sina jina mjini wala pesa za kuzidi ni rahisi kufanya maamuzi ya kunipiga chini. Najua utabishana ila nimeamua kwenda straight to the point. Mwanamke hakuzalii kama huna kitu special kwenye jamii, either respect, money or fame!
Sasa kaka mbona mama peter kanizalia
 
MZAZI mwenza wa supastaa wa Bongo Fleva barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, usiku wa jana Januari 22, 2020 ametua nchini akiwa na mtoto wake Naseeb Junior wakitokea kwao nchini Kenya.

Tanasha amepokelewa na gari ya Diamond katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal 3, jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Tanasha amesema amekuja kwa ajili ya shughuli za kimuziki ikiwemo ku-shoot video na Msanii wa Bongo Fleva nchini Tanzania Faustina Charles maarufu kwa jina la Nandy.

FB_IMG_16114720784894387.jpg
 
Shida sio kuzaa na wanawake wengi, shida ni huyo mwanaumw akiwa worth $6 Million na nchi na ulimwengu mzima unamjua. Hapo ndipo wenzio walipokwama.

Kwa mie kajamba nani sina jina mjini wala pesa za kuzidi ni rahisi kufanya maamuzi ya kunipiga chini. Najua utabishana ila nimeamua kwenda straight to the point. Mwanamke hakuzalii kama huna kitu special kwenye jamii, either respect, money or fame!
Anaongea tu huyo sababu mondi hajamfata akamtongoza na kutaka amzalie.....
 
Ndobiashara hiyo.
Kama kawaida tamasha tarehe 30 sasa kila kick muhimu sana ndio wakati wake huu na bado tutaona mengi kukiwa na dalili za kupungua kuongelea ataita press sasa kuongelea ya baba yake muhimu kick mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom