wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Juma lokole anasemaje? .
Aristotee nae..?
Lokole analalamika akisema Baba level amempora No.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juma lokole anasemaje? .
Aristotee nae..?
Lokole analalamika akisema Baba level amempora No.
Na alimtukana kweli tanasha.
Sijui Sasa hivi anamuangaliaje.
Kuwa msemaji wa mapenzi ya mwanaume mwenzio Ni tatizo
Bwana ana hela Dangote cha mtoto, ana mapenzi kama jini la mahaba, halafu wake wakubwa uliowakuta wote wazuriii wanakukaribisha vizuri saana!
Daimond mdhalilishaji sana.. nao hawa wadada sijui zipo sawa kweli hivi ?
Tanasha has a class
Nitaweza mkuuUtaweza kweli[emoji23][emoji23]
Kwani mzee baba ulichokisema umeona live?Hizo busara mwisho wake ni mlangoni kwako,domo ye hana hizo story huyo mtoto atawekwa doggy nyoka ipakwe mate,itelezeshwe pangoni then uji mzito umwagike afu imeisha hio.
Mkuu habari, naomba Kuuliza jambo Japo ni out of topic....Sasa wewe ndoa ya mitala wake watatu unaongezwa wewe uwe wa nne utaweza kweli?
Mama yake kwani anaifunga papuchi ya zuchu?Ila kwa zuchu sizani Kama anamla mama hadija kopa akupe mtoto wake alafu umcuezee hapana aisee haiwezekani
Mbona kama wewe ndo unawasema ya chumbani?Embu mkiwa mna comment mtumie akili kidogo, akishaweka rungu lake kwa zuchu , unadhani hali itakuwaje, na ni mwanamke umemuajiri, ataanza kutaka umpendelee kwenye lebo, ataanza kutaka umuongezee shares, ataanza kutaka mambo mengi tu, mawivu yasiyokua na sababu, mwisho wa siku kazi inaharibika, siri zinaanza kutoka za chumbani, dizain flan atakua kamkosea heshima Khadija Kopa..sio kila mahali ni pa kusuuza rungu ..ila kama anaona sawa aendelee kumkatikia mauno zuchu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamasha hawezi kumuacha Diamond. Tena ameshasilimu tayari Kwa Ndoa. Kenya Njaa Kali na Wanaume waoaji hakuna. Atauziwa atakimbia lakini mwili na Roho viko Bongo.Hujanja hawana, watanuna na watajigonga, kwa mtoto wa tandale.
Angalia vigezo vyao vyote na uvifikishe.Mkuu habari, naomba Kuuliza jambo Japo ni out of topic....
Mimi ni junior engineer, Kuna post imetangazwa UN ofisi za NEW YORK....nataka nifanye maombi..
Naomba kujua changamoto ambazo nitakumbana nazo iwapo nitapata hii nafasi.
Ikiwemo kufanya kazi na mchanganyiko wa mataifa tofauti ikiwemo America.
Nifanyeje ili niweze kupass interview zote za UN.
Chanzo mojawapo Cha stress Kama ni mimi nakata mawasiliano kabisa, dah zari alikuja akajiona so special sasa tanasha kaja Kati ya wanawake wakuhurumiwa ni hawa waliozaa na diamond aisee
Nashkuru sana mkuuAngalia vigezo vyao vyote na uvifikishe.
Tafuta Watanzania senior waliowahi kufanya kazi UN wakupe ushauri. Bahati mbaya sana mwaka jana nimempoteza mzee wangu Dr. Mahiga, angekuwepo ningeweza kukupa contact akusaidie. Huyu kafanya kazi UN yenyewe (UNHCR, UN Special Rep to Somalia etc) mpaka serikali ya Tanzania katika UN kama balozi wa Tanzania. Tumepoteza kichwa. Sasa hivi nikitafuta mtu wa caliber yake anayeijua UN ninayemjua simuoni.
Ila, vigezo ni muhimu zaidi ya connections, conneections zinakupa boost tu, msingi ni kutimiza vigezo.
Ukifanikiwa ukifika NYC kama huna sehemu ya kukaa/ hujui Watanzania walipo nitafute.
Ni changamoto gani nijiandae kukutana nazo nikifanya kazi na wamarekani?Angalia vigezo vyao vyote na uvifikishe.
Tafuta Watanzania senior waliowahi kufanya kazi UN wakupe ushauri. Bahati mbaya sana mwaka jana nimempoteza mzee wangu Dr. Mahiga, angekuwepo ningeweza kukupa contact akusaidie. Huyu kafanya kazi UN yenyewe (UNHCR, UN Special Rep to Somalia etc) mpaka serikali ya Tanzania katika UN kama balozi wa Tanzania. Tumepoteza kichwa. Sasa hivi nikitafuta mtu wa caliber yake anayeijua UN ninayemjua simuoni.
Ila, vigezo ni muhimu zaidi ya connections, conneections zinakupa boost tu, msingi ni kutimiza vigezo.
Ukifanikiwa ukifika NYC kama huna sehemu ya kukaa/ hujui Watanzania walipo nitafute.
Analiwa tu....Ila kwa zuchu sizani Kama anamla mama hadija kopa akupe mtoto wake alafu umcuezee hapana aisee haiwezekani
Hao wanawake ndio wanajileta yeye hatumii nguvu hata wewe ukiwa na pesa na umaarufu wanawake watakuja wenyewe Ni Kama inavyomtokea sasa hivi Fred vunjabeiWanawake kwake ni sehemu ya kiburudisho
Mzee wa chovya chovya huyo
Inaelekea alipokuwa hana kitu wanawake walimpiga vibuti sahv kama analipiza
East Wind
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wanajiletaaa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao wanawake ndio wanajileta yeye hatumii nguvu hata wewe ukiwa na pesa na umaarufu wanawake watakuja wenyewe Ni Kama inavyomtokea sasa hivi Fred vunjabei
Hawa wanawake wanazalilika Sana kisa umaarufu na hapo wanashindana hamna ambaye atagoma kwenda. Yani wanawake wakishakuwa wake wenza akili huwatoka kabisaKwa kweli full stress na kuaibishana kama ni Mimi pia ningekata mawasiliano mtoto akikua watatafutana
imagine Leo anatoka Mwana mke huyu Kesho Yule kisa mtoto