Tanasha atua nchini, gari la Diamond lampokea

Tanasha atua nchini, gari la Diamond lampokea

Hawa wanawake wanazalilika Sana kisa umaarufu na hapo wanashindana hamna ambaye atagoma kwenda. Yani wanawake wakishakuwa wake wenza akili huwatoka kabisa
Umeona Zari alivyorecord video na kingbae tena.Yaani Hawa wanawake Ni bure kabisa
 
Chanzo mojawapo Cha stress Kama ni mimi nakata mawasiliano kabisa, dah zari alikuja akajiona so special sasa tanasha kaja Kati ya wanawake wakuhurumiwa ni hawa waliozaa na diamond aisee
Tunaanza kukuhurumia wewe.
 
Leo umepanic hahahahaaa nyooo unajikutaga mjanja. Nyuzi zako zinakuumbua inno

Haya bisha kama wewe sio innocent dependant. Kutwa upo kwenye matako ya zari
Mchezo upi Sasa? Dada unijui lakini unajifanya kunijua kuliko ninavyojijua Mimi
 
Leo umepanic hahahahaaa nyooo unajikutaga mjanja. Nyuzi zako zinakuumbua inno

Haya bisha kama wewe sio innocent dependant. Kutwa upo kwenye matako ya zari
hahah umemdaka Inno ugoni
 
Hii kauli tungeifanyia kazi tusingekua tunadhalilisha wengine mfano wewe hapo unapomsema vibaya zari ni kama unapata raha fulani vile. Mfano mie kumuongea vibaya pugi ni raha na sipati faida.
Usikarike nae ana haki ya kukupa attack ujisikie vile wanavyojisikia unaowadiss
Hivi huwa unaona raha gani kuandika personal attack za uongo humu JF. Usipende kuzalilisha wengine Ili kutafta ur inner peace, jiheshimu tafadhali
 
Hivi huwa unaona raha gani kuandika personal attack za uongo humu JF. Usipende kuzalilisha wengine Ili kutafta ur inner peace, jiheshimu tafadhali
Kukuhurumia wewe ni personal attack ?

Wewe msukuma una shida sio kidogo
 
Shida sio kuzaa na wanawake wengi, shida ni huyo mwanaumw akiwa worth $6 Million na nchi na ulimwengu mzima unamjua. Hapo ndipo wenzio walipokwama.

Kwa mie kajamba nani sina jina mjini wala pesa za kuzidi ni rahisi kufanya maamuzi ya kunipiga chini. Najua utabishana ila nimeamua kwenda straight to the point. Mwanamke hakuzalii kama huna kitu special kwenye jamii, either respect, money or fame!

Mimi nimezalisha wanawake watatu, wala sikuwa na hizo sifa... nukta yako ni ipi?
 
Back
Top Bottom