Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah njoo mjini utaelewa kiwepesi bila hata tution!Nimekuwa nikisoma hayo maneno bila kuelewa!
Hebu nisaidie mnakuwa na maana gani kusema watafute fedha linapokuja swala la wanawake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah njoo mjini utaelewa kiwepesi bila hata tution!Nimekuwa nikisoma hayo maneno bila kuelewa!
Hebu nisaidie mnakuwa na maana gani kusema watafute fedha linapokuja swala la wanawake?
Utaweza kweli[emoji23][emoji23]Chanzo mojawapo Cha stress Kama ni mimi nakata mawasiliano kabisa, dah zari alikuja akajiona so special sasa tanasha kaja Kati ya wanawake wakuhurumiwa ni hawa waliozaa na diamond aisee
Ndio mwisho wa matatizo hawa madada zetu tuwaone hivi hvi tu ukiwa huna kitu sio mwenzio.Vijana tafuteni fezwaa narudia tena tafuteni fezwa
PESA ndiyo sabuni ya roho.Nimekuwa nikisoma hayo maneno bila kuelewa!
Hebu nisaidie mnakuwa na maana gani kusema watafute fedha linapokuja swala la wanawake?
Ila kwa zuchu sizani Kama anamla mama hadija kopa akupe mtoto wake alafu umcuezee hapana aisee haiwezekaniZamu kwa Zamu
Mabeto na zuchu hawa ni wanapishana kila mwezi but usiku kwa usiku
Tanasha na Zari ni top wanapishana annually!
Vunja mifupa bado meno ipooo
Usimuamini mwanamkeIla kwa zuchu sizani Kama anamla mama hadija kopa akupe mtoto wake alafu umcuezee hapana aisee haiwezekani
Mabeto na zuchu hawa ni wanapishana kila mwezi but usiku kwa usiku
Tanasha na Zari ni top wanapishana annually!
Vunja mifupa bado meno ipooo
Kwani Khadija Kopa hataki hela? Unaijua nguvu ya pesa lakini?Ila kwa zuchu sizani Kama anamla mama hadija kopa akupe mtoto wake alafu umcuezee hapana aisee haiwezekani
Khadija kopa Ni type ya wamama wenye heshima zao kwao pesa sio kila kitu sizani ataruhu hiko kitu kitokeeKwani Khadija Kopa hataki hela? Unaijua nguvu ya pesa lakini?
Nadhani sababu kubwa ni Mimi kuuza samakiKakuzalia kwa sababu maalumu jitathmini
Mama yake kwani anaifunga papuchi ya zuchu?Ila kwa zuchu sizani Kama anamla mama hadija kopa akupe mtoto wake alafu umcuezee hapana aisee haiwezekani
Mobeto alisema kwenye kamera ila behind the scene unaweza ukakuta yy analiwa vizuri kabisa ,kwani "hawala hana talaka,ukimtaka unampata-Prof Jay"…cha msingi wewe tafuta hela .Mobetto alisema hawezi lala nae tena, Zuchu ni msanii wa lebo, Mond hawezi changanya mapenzi na kazi
Mbona marehemu first born wake aliharibiwa zenj, na zuchu aliomba msaada wa kusaidiwa mziki wakeIla kwa zuchu sizani Kama anamla mama hadija kopa akupe mtoto wake alafu umcuezee hapana aisee haiwezekani
Yaani apoteze muda kumlea na apoteze muda wa kumzuia asichezee cheche akiwa na umri karibia miaka thelathini.Ila kwa zuchu sizani Kama anamla mama hadija kopa akupe mtoto wake alafu umcuezee hapana aisee haiwezekani
Embu mkiwa mna comment mtumie akili kidogo, akishaweka rungu lake kwa zuchu , unadhani hali itakuwaje, na ni mwanamke umemuajiri, ataanza kutaka umpendelee kwenye lebo, ataanza kutaka umuongezee shares, ataanza kutaka mambo mengi tu, mawivu yasiyokua na sababu, mwisho wa siku kazi inaharibika, siri zinaanza kutoka za chumbani, dizain flan atakua kamkosea heshima Khadija Kopa..sio kila mahali ni pa kusuuza rungu ..ila kama anaona sawa aendelee kumkatikia mauno zuchu.
Sent using Jamii Forums mobile app