Tanasha Dona hapendi wanaume wanaonuka jasho (vikwapa)

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
20230123_201022.jpg

Kama msela una kijasho basi watoto wazuri kama Tanasha utawala kwa macho. Wanapenda wanaume wasafi wanaonukia vizuri.

Kama una kikwapa tafuta wa kufanana nae.
 
Huyo demu anapenda pesa kuliko anacho kisema. Tutafute pesa tuwazalishe ili waje kukupeleka ustawi wa jamii kudai matunzo bilioni kwa mwezi
Nani anawadanganya wanawake wanavutiwa na pesa peke yake kwa wanaume?
Ok hauna pesa usafi una gharama gani mpaka unanuka kijasho cha saa saba mchana 🤣🤣🤣 wengine tuna kinyaaa 🥶🥶🥶

Kuna wanaume walidhania wakipata pesa watavutia wanawake warembo wakazipata na bado wanachezea vibuti hata wakiwapata wanawake wanachepuka kuridhisha moyo.

Haya tafuteni hela mkidhani zinanunua upendo mtapiga sana wanawake risasi na kuwakata mapanga mkiugundua ukweli

Usafi ni shortcut ya kumteka mwanamke yoyote.
 
Aisee
 
Ok hauna pesa usafi una gharama gani mpaka unanuka kijasho cha saa saba mchana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wengine tuna kinyaaa [emoji3063][emoji3063][emoji3063]

Km kuna ukweli hivii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani anawadanganya wanawake wanavutiwa na pesa peke yake kwa wanaume?
Ok hauna pesa usafi una gharama gani mpaka unanuka kijasho cha saa saba mchana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wengine tuna kinyaaa [emoji3063][emoji3063][emoji3063]

Kuna wanaume walidhania wakipata pesa watavutia wanawake warembo wakazipata na bado wanachezea vibuti hata wakiwapata wanawake wanachepuka kuridhisha moyo.

Haya tafuteni hela mkidhani zinanunua upendo mtapiga sana wanawake risasi na kuwakata mapanga mkiugundua ukweli

Usafi ni shortcut ya kumteka mwanamke yoyote.

mnaongea tu .sasa vibabu mnavovifataga mnaenda kufanya nini.!

juzi tu umemuona manara anaangua kilio
 
Nani anawadanganya wanawake wanavutiwa na pesa peke yake kwa wanaume?
Ok hauna pesa usafi una gharama gani mpaka unanuka kijasho cha saa saba mchana 🤣🤣🤣 wengine tuna kinyaaa 🥶🥶🥶

Kuna wanaume walidhania wakipata pesa watavutia wanawake warembo wakazipata na bado wanachezea vibuti hata wakiwapata wanawake wanachepuka kuridhisha moyo.

Haya tafuteni hela mkidhani zinanunua upendo mtapiga sana wanawake risasi na kuwakata mapanga mkiugundua ukweli

Usafi ni shortcut ya kumteka mwanamke yoyote.
Sikupingi hata kidogo...naliona Hilo kwa upande wangu...cha ajabu basi usafi kila anaweza sema kaujinga flani hivi wanaume (wasio wasafi) wanakuwa nako.

NB; Tu-chapaa muhimu nazo 😄
 
Hao wanafata hela of course kuna mwanamke ukimuonesha pesa utampata ila sio kupendwa atakuwa na wewe ila mapenzi yapo kwa mwingine..... Manara alifikiri hela zake na umaarufu utamfanya apendwe ameishia kulialia mitandaoni, pesa hainunui upendo mtachoma moto wanawake bureee.
 
Sikupingi hata kidogo...naliona Hilo kwa upande wangu...cha ajabu basi usafi kila anaweza sema kaujinga flani hivi wanaume (wasio wasafi) wanakuwa nako.

NB; Tu-chapaa muhimu nazo 😄
Pesa ni muhimu sababu inafanya mwanamke ajisikie secure. Unakuta mwanaume ana visenti na anajipenda kwa nini asikuvutie 🤣🤣🤣 tena wanaume wanaojipenda wanakuwaga na roho za kizungu anakutreat kama malkia hawana gubu.

Lakini janaume lanuka kibeberu mtu atapiga hela aondoke kila leo atakulilia shida akompaseti...unabaki yule mwanamke nimemfanyia mambo makubwa atanikumbuka wapiii nani akukumbuke mtu katoka kifungoni 🤣🤣
 
Wanaona gere ila mondi mshenzi sana anakula mzigo na mimba juu halafu anaku dump
 
Nani anawadanganya wanawake wanavutiwa na pesa peke yake kwa wanaume?
Ok hauna pesa usafi una gharama gani mpaka unanuka kijasho cha saa saba mchana 🤣🤣🤣 wengine tuna kinyaaa 🥶🥶🥶

Kuna wanaume walidhania wakipata pesa watavutia wanawake warembo wakazipata na bado wanachezea vibuti hata wakiwapata wanawake wanachepuka kuridhisha moyo.

Haya tafuteni hela mkidhani zinanunua upendo mtapiga sana wanawake risasi na kuwakata mapanga mkiugundua ukweli

Usafi ni shortcut ya kumteka mwanamke yoyote.
Umenena kweli...

Mimi hupaka very expensive male colognes na hii imefanya nitongozwe na wadada wengi sana.
 
Ngoja niongeze ratiba ya kuoga na kununua marashi mazuri [emoji23][emoji23][emoji23] labda [mention]cocastic [/mention] au [mention]Unique Flower [/mention] atanikubali
 
Back
Top Bottom