USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi.
Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na kuvizika maeneo tofauti tofauti
USSR
=====
Huyu anaitwa Ezenia Stanley Kamana, alitokewa nyumbani kuanzia tarehe 1 August huko Tandika Maghorofani, Taarifa ya polisi imethibitisha kwamba, mwanamke huyu ameuawa kwa kuchinjwa na aliyekuwa mpenzi wake. Inadaiwa mwanaume huyo alimchinja mwanamke huyo na kutenganisha viungo vyake.
Baadhi ya viungo vikiwemo paja moja, vipande vya mikono miwili, eneo la kifua, tako, matumbo na nguo vilikutwa kwenye kiroba maeneo ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Baada ya kupata viungo hivyo na mtuhumiwa kuelezwa aliamua kueleza ukweli kuwa alimuua mpenzi wake huyo na kutenganisha mwili wake katika vipande na kwenda kuvitupa maeneo tofauti.
Agosti 23, 2024 aliwaongoza askari hadi eneo la Tegeta Block D na kuwaonyesha alipotupa miguu na baadaye aliwaonyesha eneo ambalo alitupa kichwa...