Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

Hii iliwahi kutokea India, mume baada ya kujua mkewe anatoka na mwalimu wake wa mazoezi (gym), akaamua kumuua kwa siri kwa wakati ambao watu wote waliamini yeye hakuhusika.

Akamkata vipande vipande akitumia msumeno wa umeme, aliifanya kazi hiyo usiku bafuni. Kisha, kila kipande akakiweka kwenye mfuko mdogo kama mfuko wa rambo.

Akanunua jokofu kubwa akaweka mifuko yote na akafunga kwa kufuri kubwa. Kila akienda kazini alfajiri anatupa mfuko mmoja kwenye mto unaokatiza kwenye daraja la njia yake ya kwenda kazini.

Kuna kosa moja alifanya, likafichua kila kitu na akanaswa.

Ova
Endelea mkuu,ikawaje?
 
Back
Top Bottom