Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Shemu fotauti tofauti ili kukosekana ushahidi.

Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na kuvizika maeneo tofauti tofauti

USSR
kuoa + kuua... mujiandae kisaikolojia kabla hamjaingia kwenye ndoa
"The worse prison in the world is a home without peace, be very careful who you marry or fall in love with."
Johnny Depp
 
Yaan ndoa sikuhizi ni kaburi
Unajua nini To yeye kwenye ndoa bwana kuna kuchokana, japo sijaoa ila najua kupo, kuchokana, kukinaiana, kuzoeana na vitu kama hivo, hii hupelekea upendo kufifia mpaka kufa.

Binafsi napendekeza ndoa za mkataba, yani tutakaa mda fulani kila mtu apite hivi, ila sio huu mfumo wa mpaka kifo kiwatenganishe.
 
Kama akili yako si nzuri na mapenzi yanakuyumbisha, bora kuachana nayo tu. Kuliko kuuwa kisa mapenzi si bora hata uende jeshi la US, Ukraine, Russia ukapigane vita uuwe ulipwe, ukafie huko. Kuliko kuleta simanzi kwenye familia za watu kisa mapenzi.
 
Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Shemu fotauti tofauti ili kukosekana ushahidi.

Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na kuvizika maeneo tofauti tofauti

USSR
Hii iliwahi kutokea India, mume baada ya kujua mkewe anatoka na mwalimu wake wa mazoezi (gym), akaamua kumuua kwa siri kwa wakati ambao watu wote waliamini yeye hakuhusika.

Akamkata vipande vipande akitumia msumeno wa umeme, aliifanya kazi hiyo usiku bafuni. Kisha, kila kipande akakiweka kwenye mfuko mdogo kama mfuko wa rambo.

Akanunua jokofu kubwa akaweka mifuko yote na akafunga kwa kufuri kubwa. Kila akienda kazini alfajiri anatupa mfuko mmoja kwenye mto unaokatiza kwenye daraja la njia yake ya kwenda kazini.

Kuna kosa moja alifanya, likafichua kila kitu na akanaswa.

Ova
 
There is no perfect forgery!
 
Ikawaje malizia kama hutojali
 
Unajua nini To yeye kwenye ndoa bwana kuna kuchokana, japo sijaoa ila najua kupo, kuchokana, kukinaiana, kuzoeana na vitu kama hivo, hii hupelekea upendo kufifia mpaka kufa.

Binafsi napendekeza ndoa za mkataba, yani tutakaa mda fulani kila mtu apite hivi, ila sio huu mfumo wa mpaka kifo kiwatenganishe.
Mpaka kifo kiwatenganishe wameunda wanadamu...na kuachana tumeunda wanadamu...ivo ni wewe tu
 
Kama akili yako si nzuri na mapenzi yanakuyumbisha, bora kuachana nayo tu. Kuliko kuuwa kisa mapenzi si bora hata uende jeshi la US, Ukraine, Russia ukapigane vita uuwe ulipwe, ukafie huko. Kuliko kuleta simanzi kwenye familia za watu kisa mapenzi.
Hapo shida itakua ni uchungu wa pesa zake kuliwa halafu kuna mwamba wala hatumii nguvu.
 
Back
Top Bottom