King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kuna watu akili zao fyatu...Ana gharimikia alafu anasikia kuwa kuna mtu mwingine uko naye
Ahh anafanya lolote
Ova
Kabisa mkuu ,na wanawake wakishaona wewe ni mshamba wa mapenzi halafu una vichenji chenji atakupagawisha kimahaba ili azidi kukutoboa mfuko kumbe kwa upande mwingine ndiyo anazidi kumkoleza mshamba ,halafu mshamba aje kusikia kwamba kuna Bwege mwingine anakula mzigo lazima akutenganishe viungo.