Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cowardice & Mental instability.Shida sijui inakuwaga nini mpka mtu anaamua kufanya mambo kama haya
Ni ushamba wa mapenzi asilimia 100!Syo ushamba wa mapenzi..
Kuna watu si wanawake wala wanaume hawapendi kuchezewa hisia
Ova
Ntakuweza tu mrembo😍😂😂😂 Ehh ataniweza kweli??
Alilazimishwa kufanya yote hayo?Gharama zake ni kubwa kuliko Penzi alilokuwa anapewa kwa manati ,Msingi wa Biashara ,malazi,mavazi,chakula daily na penzi la kila baada ya week mbili vinaendana?
Shem unanisagia kunguni😂Hapo na mimi ndo nina wasiwasi napo, atawezana!!! demu unaetumia akili aah hakuwezi huyu asikupe dhambi ya bure
Shem sitaki upate dhambi ujue bado tunakuhitaji shemelaShem unanisagia kunguni😂
Wacha weh!! 😹Ntakuweza tu mrembo😍
Naturally, women ni caretakers sasa anapokutana na mwanaume broken/battled , yeye kwake ni lifetime challenge + opportunity.mimi naegemea kwenye point yangu ya afya ya akili
kuna magonjwa mabaya sana ya akili yanafanya mtu anakuwa katili sana mfano psychopathy
shida ni kwamba huwezi kujua moja kwa moja kwamba mtu ana shida ya akili au la
halafu nimewahi kusikia kuna wanawake wanavutiwa na wanaume wenye magonjwa flani ya akili
😂Ntakuja DM bana... kikubwa we nitunuku moyo wakoWacha weh!! 😹
Em nishawishi nikubali mtongozo wako.!
🤣Na unajua kabisa sina bayaShem sitaki upate dhambi ujue bado tunakuhitaji shemela
Wanachkulia rais sana haya mambo, subiri yawakuteNa gharama alizotoa mwamba nani atazilipa? Ubaya Ubwela.
Sio afya ya akili wanawake wana maudhi hayana mfano, tunapoongea sasaivi yupo jamaa anaangaika kuuza viwanja vyake ili alipe madeni ya mke wake aliyokopa vikoba lakn hayo madeni yanalipwa kama wanaume 4, niambie nini kinaweza kutokea.Sasa km tatizo ni pesa si aseme arudishiwe!!
Hizi mambo za kufikia hatua ya kuuana ni afya ya akili haiko vizuri kichwani.!!
Yap hii kidg ina mashikoWakati mwingine inakuja mmeshajuana mambo mengi yaani mtu yuko white mweupe peee kila kitu chake unakijua, leo unaanza oops ngoja tuone na bla bla nyingi.
Uvumilivu unaisha, siyo tu wivu wa kimapenzi jamani, more things inside.