Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

Wakati mwingine inakuja mmeshajuana mambo mengi yaani mtu yuko white mweupe peee kila kitu chake unakijua, leo unaanza oops ngoja tuone na bla bla nyingi.

Uvumilivu unaisha, siyo tu wivu wa kimapenzi jamani, more things inside.
 
mimi naegemea kwenye point yangu ya afya ya akili

kuna magonjwa mabaya sana ya akili yanafanya mtu anakuwa katili sana mfano psychopathy

shida ni kwamba huwezi kujua moja kwa moja kwamba mtu ana shida ya akili au la

halafu nimewahi kusikia kuna wanawake wanavutiwa na wanaume wenye magonjwa flani ya akili
Naturally, women ni caretakers sasa anapokutana na mwanaume broken/battled , yeye kwake ni lifetime challenge + opportunity.

Tatizo wengi hawajui matokeo halisi ya rescue missions zao zaidi ya ku “hope for the best.

Ubaya zaidi watoto wa Kike wa sasa wameikuta dunia ni Confusing Chaos kiasi hawatambui role yao natural anymore than a blind man can see his own hands.
 
Sasa km tatizo ni pesa si aseme arudishiwe!!
Hizi mambo za kufikia hatua ya kuuana ni afya ya akili haiko vizuri kichwani.!!
Sio afya ya akili wanawake wana maudhi hayana mfano, tunapoongea sasaivi yupo jamaa anaangaika kuuza viwanja vyake ili alipe madeni ya mke wake aliyokopa vikoba lakn hayo madeni yanalipwa kama wanaume 4, niambie nini kinaweza kutokea.
 
Wakati mwingine inakuja mmeshajuana mambo mengi yaani mtu yuko white mweupe peee kila kitu chake unakijua, leo unaanza oops ngoja tuone na bla bla nyingi.

Uvumilivu unaisha, siyo tu wivu wa kimapenzi jamani, more things inside.
Yap hii kidg ina mashiko
Unakuta mtu anajua siri nje ndani alafu anataka kugeuka balaa linaanzia hapo
 
Back
Top Bottom