MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ila mimi nashauri haya mambo ni ya kuyafanyia kazi kwa njia za kimila. Yaani huachi ushahidi kabisa kwenye kumshughulikia mla hela zako huku papuchi wanafaidi wengine.Kuna watu akili zao fyatu...Ana gharimikia alafu anasikia kuwa kuna mtu mwingine uko naye
Ahh anafanya lolote
Ova
Ata jina lake IGMuuaji kakaa kama "NJAGU".
Mnadakia tu habari bila kuwa na uhakika! Nani alikwambia alikuwa mke wake? Hivi mpenzi na mme ni sawa? Halafu mbona familia imesema aliondoka home tarehe 19 August wewe unasemaje tangu tarehe 1?Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Shemu fotauti tofauti ili kukosekana ushahidi.
Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na kuvizika maeneo tofauti tofauti
USSR
=====
Huyu anaitwa Ezenia Stanley Kamana, alitokewa nyumbani kuanzia tarehe 1 August huko Tandika Maghorofani, Taarifa ya polisi imethibitisha kwamba, mwanamke huyu ameuawa kwa kuchinjwa na aliyekuwa mpenzi wake. Inadaiwa mwanaume huyo alimchinja mwanamke huyo na kutenganisha viungo vyake.
Baadhi ya viungo vikiwemo paja moja, vipande vya mikono miwili, eneo la kifua, tako, matumbo na nguo vilikutwa kwenye kiroba maeneo ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Baada ya kupata viungo hivyo na muhumiwa kuelezwa aliamua kueleza ukweli kuwa alimuua mpenzi wake huyo na kutenganisha mwili wake katika vipande na kwenda kuvitupa maeneo tofauti.
Agosti 23, 2024 aliwaongoza askari hadi eneo la Tegeta Block D na kuwaonyesha alipotupa miguu na baadaye aliwaonyesha eneo ambalo alitupa kichwa...
Wanawake nao wakatae kupokea hizo pesa pia wasiziombe. Kama mtu anaweza kuzitafuta pesa hadi kuweza kuzitoa baadhi huyo mtu sio dhaifu.Alilazimishwa kufanya yote hayo?
Binaadam anaetumia pesa kupata mapenzi/Upendo huyo ni mshamba na dhaifu mno.
Love is a feeling. Love is free. Love is unconditional.Wanawake nao wakatae kupokea hizo pesa pia wasiziombe. Kama mtu anaweza kuzitafuta pesa hadi kuweza kuzitoa baadhi huyo mtu sio dhaifu.
Eeh na alikua chawa wa mama!!! Kuna kitu si bure...Huruma yangu kwa watoto watatu. Very innocent.
View attachment 3079297
Hongera kwa kushikwa masikio 😃😃Picha iko wapiii? Ya mke? Ya mume?
Perfect crime zipo sana.There is no perfect forgery!
Tena kwa bongo ukiwa makini hawakudaki kabisa. Watu wanazika inaishaPerfect crime zipo sana.
A lot of people commit perfect crime and get away with it.
It's an extremely difficult to make a clean escape when someone commit the crime.Perfect crime zipo sana.
A lot of people commit perfect crime and get away with it.
😄Ila mimi nashauri haya mambo ni ya kuyafanyia kazi kwa njia za kimila. Yaani huachi ushahidi kabisa kwenye kumshughulikia mla hela zako huku papuchi wanafaidi wengine.
waache tamaa ya pesa, wataishaHuruma yangu kwa watoto watatu. Very innocent.
View attachment 3079297
Kosa gani hilo alilofanya Mzee Baba?Hii iliwahi kutokea India, mume baada ya kujua mkewe anatoka na mwalimu wake wa mazoezi (gym), akaamua kumuua kwa siri kwa wakati ambao watu wote waliamini yeye hakuhusika.
Akamkata vipande vipande akitumia msumeno wa umeme, aliifanya kazi hiyo usiku bafuni. Kisha, kila kipande akakiweka kwenye mfuko mdogo kama mfuko wa rambo.
Akanunua jokofu kubwa akaweka mifuko yote na akafunga kwa kufuri kubwa. Kila akienda kazini alfajiri anatupa mfuko mmoja kwenye mto unaokatiza kwenye daraja la njia yake ya kwenda kazini.
Kuna kosa moja alifanya, likafichua kila kitu na akanaswa.
Ova