jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
I thought the same. Halafu wengi wao ndo huwa na wivu wa aina hii kwenye mapenzi. Hatari sana😀Muuaji kakaa kama "NJAGU".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I thought the same. Halafu wengi wao ndo huwa na wivu wa aina hii kwenye mapenzi. Hatari sana😀Muuaji kakaa kama "NJAGU".
Kabisa alikuwa mkimya sana.Huyu ni killer elite, a man ambae hana cha kupoteza ni dangerous man. Huwa hawaongei ila utapata habari zao
Duuuh RIP mdada mzurii.
Mwanaume anaonekana ana heshima na stahaa zakee,View attachment 3078874View attachment 3078875
View attachment 3078876
Na muuaji ndio huyu my wake.....[emoji115][emoji115][emoji115]
Kisa unachokirejelea kinahusiana na tukio la kutisha lililotokea nchini India mwaka 2008, ambalo lilipewa jina la "Delhi Housewife Murder" au "Delhi Gym Trainer Murder". Hili lilikuwa tukio la kikatili ambapo mume alimuua mke wake kwa kumkata vipande vipande baada ya kugundua kuwa mkewe alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwalimu wake wa mazoezi (gym trainer).Hii iliwahi kutokea India, mume baada ya kujua mkewe anatoka na mwalimu wake wa mazoezi (gym), akaamua kumuua kwa siri kwa wakati ambao watu wote waliamini yeye hakuhusika.
Akamkata vipande vipande akitumia msumeno wa umeme, aliifanya kazi hiyo usiku bafuni. Kisha, kila kipande akakiweka kwenye mfuko mdogo kama mfuko wa rambo.
Akanunua jokofu kubwa akaweka mifuko yote na akafunga kwa kufuri kubwa. Kila akienda kazini alfajiri anatupa mfuko mmoja kwenye mto unaokatiza kwenye daraja la njia yake ya kwenda kazini.
Kuna kosa moja alifanya, likafichua kila kitu na akanaswa.
Ova
Oh! Asante sana comrade, hii ni kazi iliyotukuka. Hadi naona kama vile ni msaada umenipa. Asante sana comrade kwa kuleta maelezo.Kisa unachokirejelea kinahusiana na tukio la kutisha lililotokea nchini India mwaka 2008, ambalo lilipewa jina la "Delhi Housewife Murder" au "Delhi Gym Trainer Murder". Hili lilikuwa tukio la kikatili ambapo mume alimuua mke wake kwa kumkata vipande vipande baada ya kugundua kuwa mkewe alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwalimu wake wa mazoezi (gym trainer).
Muhtasari wa Tukio
Washiriki Wakuu:
- Muuaji: Rajesh Gulati, mfanyabiashara wa kompyuta.
- Marehemu: Anupama Gulati, mke wa Rajesh.
- Mtu wa Tatu: Mwalimu wa mazoezi wa Anupama, ambaye hakutajwa kwa jina katika ripoti nyingi.
Maelezo ya Tukio:
Hii ni hadithi ya kutisha na yenye kuonyesha jinsi hasira na wivu vinaweza kusababisha vitendo vya kinyama sana. Tukio hili lilitumikia kama onyo kwa watu wanaopitia matatizo ya ndoa, kwamba ni muhimu kutafuta msaada wa kisheria na kisaikolojia badala ya kuchukua sheria mikononi mwao.
- Mwanzo wa Mzozo: Rajesh Gulati na Anupama walikuwa na ndoa ya miaka kadhaa, lakini ndoa yao ilikuwa na matatizo makubwa. Kwa mujibu wa ripoti, Anupama alianza kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwalimu wake wa mazoezi, hali iliyoongeza mvutano kwenye ndoa yao.
- Uamuzi wa Kutisha: Baada ya kugundua uhusiano wa mkewe na mwalimu wake, Rajesh alikasirika sana na kuamua kumuua mkewe. Mnamo Oktoba 2010, alimkaba mkewe hadi kufa wakati wa mzozo uliozuka nyumbani kwao.
- Kitendo cha Kikatili: Ili kuficha ushahidi wa mauaji, Rajesh aliamua kumkata Anupama vipande vipande. Aliitumia msumeno wa umeme kufanya kitendo hicho cha kinyama ndani ya bafu nyumbani kwao. Aligawanya mwili wa Anupama katika vipande vidogo na kuvifunga kwenye mifuko ya plastiki (mifuko ya rambo).
- Njama ya Kuficha Ushahidi: Rajesh alinunua jokofu kubwa ili kuhifadhi vipande vya mwili wa mkewe ili visiharibike na kutoa harufu mbaya. Alifunga jokofu hilo kwa kufuli kubwa na akaanza kutupa vipande vya mwili mmoja baada ya mwingine kwenye Mto Mussoorie wakati akienda kazini kila siku asubuhi.
- Kosa Lililomsaliti: Wakati wa kutupa vipande hivyo, Rajesh hakufanikiwa kuficha vyema baadhi ya ushahidi. Kosa kubwa lilikuwa ni kuficha mwili wa mkewe kwa muda mrefu sana na kutozingatia kwamba familia ya Anupama na marafiki walikuwa wakiuliza kuhusu kupotea kwake. Hatimaye, kaka wa Anupama alianza kushuku na kuripoti kwa polisi kuhusu kutoweka kwake, na hivyo polisi wakaanza uchunguzi.
- Kufichuliwa kwa Mauaji: Polisi walipofika nyumbani kwa Rajesh na kufanya upekuzi, waligundua jokofu hilo na mwili wa Anupama uliohifadhiwa ndani yake. Rajesh alikamatwa na kukiri mauaji hayo baada ya kushinikizwa na ushahidi uliopatikana.
- Hukumu:Rajesh Gulati alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa mauaji ya mkewe. Kesi hii ilishtua sana umma wa India kutokana na ukatili wake na njama ya kuficha ushahidi kwa njia ya kikatili.
Kuna watu akili zao fyatu...Ana gharimikia alafu anasikia kuwa kuna mtu mwingine uko naye
Ahh anafanya lolote
Ova
mimi naegemea kwenye point yangu ya afya ya akili
kuna magonjwa mabaya sana ya akili yanafanya mtu anakuwa katili sana mfano psychopathy
shida ni kwamba huwezi kujua moja kwa moja kwamba mtu ana shida ya akili au la
halafu nimewahi kusikia kuna wanawake wanavutiwa na wanaume wenye magonjwa flani ya akili
Wewe wamoto watu wanakuganda kama superglue.Kuna huyo mmoja yule ningeendelea kujidai nampenda sana kuna siku angekuja kunidhuru ama kuniua kabisa, ilikua kila tukigombana ana nitolea maneno ya vitisho. Kuna kitu nilimuazima akagoma kurudisha kwenye kumdai namna alivyonibadilikia niliogopa hapo nilikua nina mpango wa kumpeleka polisi lkn nikawaza kwa namna alivyo kichwa kibovu nikaghairisha. Nilivyokuja pata story zake toka kwa ndugu zake nikasema nilikua sahihi, hana kabisa utimamu wa akili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sikutegemea kabisa hii comment. Ulale sasa.Wewe wamoto watu wanakuganda kama superglue.
Alilazimishwa kufanya yote hayo?
Binaadam anaetumia pesa kupata mapenzi/Upendo huyo ni mshamba na dhaifu mno.
Kama una tamaa ya hela za mtu lazima umalizwe hakuna namna... kama mtu humtaki acha kula hela zake.Hawa wanaume washamba wa mapenzi watatumaliza ðŸ˜ðŸ˜
Piga mahesabu ya hizo biriani kuku na soda fanta kwenye hiyo picha. Biriani kuku Tsh 7000 x ijumaa 52. Hapo bado fanta kama 70 hivi... na kuonana hapo labda boda Tsh 2500 jamaa kalipa... utakuta papuchi anapewa kimasimango.. inauma sana.Huo ni uchoyo sasa...