polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi haudumu hata masaa 6.
Huko TANESCO kuna kuna zimwi gani ambalo linakwamisha hili shirika miaka yote tangu Uhuru? Zimwi ambalo Marais wote wameshindwa kuling'oa ? Maana matatizo ni yale Yale miaka yote.
Huko TANESCO kuna kuna zimwi gani ambalo linakwamisha hili shirika miaka yote tangu Uhuru? Zimwi ambalo Marais wote wameshindwa kuling'oa ? Maana matatizo ni yale Yale miaka yote.