Au siomwakani kinu cha kwanza pale nyerere kitafunguliwa ..hii ni mwarobaini tosha walah
sijui chadema wataweka wapi sura zao
Ndugu yangu baki tu hukohuko kwa waliostaarabikaOohoooo na hiyo wameuza
ndivyo isitoshe vinu viko tisa,huu ni mkakati na matunda mema kwa nchi ikiongozwa na CCM chini ya ilani ya chamaAu sio
Kwa kweli wanahuzunisha sanaNdugu yangu baki tu hukohuko kwa waliostaarabika
Nami nataka nirudi nchi ya asili ya baba yangu Rwanda. Hii nchi ni majanga kila kona.