Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
.Kuna mkuu alishasema hapo juu, kama mtu uwezo wake wa kuelewa ni mdogo ni mdogo tu, hata ajitutumue vipi.
Na hata kanisa haliwezi kusaidia, nini kanisa, hapa hata kupunga madogoli bure tu.
Mtu logic simple ya if A then B haipandi unategemea utaelewa Collisional decoherence observed in matter wave interferometry?
- Uelewa mkubwa na mdogo huonyeshwa na maisha ya claimers, kabla ya maandishi yao, ndipo tunapotikisa vichwa kwamba kulikoni! Bwa! ha! ha!
FMEs!
.
Blueray, achana na mambo ya logic hapa, tuendelee kukata isues kichwa kichwa, na haya mabombastic unayotushushia sasa, unataka tuingie JF dictionary?.
Blueray be modarate, don't be too bold and too outspoken, there is a price to pay, kama bold na outspoken Zitto has been sent the bill to pay the price ameshindwa kulipa, Blueray utasimama?.I am bold and outspoken..
We have a big problem na waandishi wetu wa habari, fani imevamiwa, hitaji la specialization kwenye media zetu ni kubwa, wale waandishi wazuri wanaopata fursa za specialization wakishapata nondo huishia kwenye greener pasture, kina Mkapa, Mwakiembe, Palamagamba Kabudi, Sengodo Mvungi etc, wote walikuwa waandishi wakalala mbele jumla.Kama huoni umuhimu wa principles za uandishi wa habari katika kujenga taifa bora.
Zitto nafarijika sana ninapokuona online hata kama umekaa kimya. Zitto wewe ni kichwa, uchangiaji wako humu unatokana na potential ulionayo, the more you give out, the more you get in, kwa kukaa kimya, kususa au kupumzika, kutakufanya uwe stagnant, just swallowing in without taking out kutakufikisha mahali you will full up to the point you can't take anymore na brain yako itakuwa saturated very soon sio kwa kuweka akiba ili siku ukishusha ushushe haswa, utajashangaa siku unataka kushusha, kunaweza tokea blast!.
Ha ha ha very sarcastic!
Zitto JF au Muheshimiwa?
unajua hapo ndipo tunaanza kujiuliza labda kulikuwa na ka ukweli fulani kalichomfanya Zitto aenguliwe kwenye mchakato wa kugombea uenyekiti pale Chadema, wazee walishaona chama kingepotea
That is a central question.
Wakuu nitauliza tena swalki langu..
Ni lini na wapi Zitto aliyasema ama kuyaandika haya ya kusifia uongozi wa Rashid..
Maanake nashindwa kufuatilia mada hii
Pre-emptive strategy...........!
Umpende usimpende Rashidi, ni one of the best CEOs of our Parastatals.
Siasa...........! tungeacha mashirika yakawa na bodi huru na kuziwekea malengo na kuzipima kutokana na malengo mashirika haya yangeenda vizuri sana. Siasa zinaingia sana na huyu Rashidi ni mmoja wa CEOs anayewakatalia wanasiasa waziwazi. Wanamchukia sana. Mfano kawaambia Wizara walipe pango la jengo la TANESCO, wizara eti hawataki..... CCM nao wameng'ang'ania Rest House ya TANESCO dodoma, amewatimua. Wamekasirika. Basi ni matatizo tu..... Sasa kwenye kampeni wanataka waweke CEO goigoi awape pesa maana Rashidi hatakubali na wao wameshazoea.....
.............Niliwahi kuandika hapa kwa kirefu naichukuliaje JF, lakini moja ya mtazamo wangu kuhusu JF ni kuwa hivi ni chombo cha habari, pia ni kama kijiwe cha kijamii cha mijadala, lakini pia ni kama mkutano wa majadiliano katika mji (town hall meeting), naitazama pia JF kama mkutano wa hadhara ambao kila mmoja yuko huru kuhutubia!...........
Bluray, be serious mkuu.Mkandara unaona kazi tuliyo nayo mkuu wangu?
And then watu wana audacity ya kusema hili ni swala academic, nasoma correction section ya Sunday NYT hapa, najiuliza sasa ningekuja na standards kama za NYT wangeniitaje hapa.
Bluray, be serious mkuu.
Standards za NYT kwa jamaa tunaolalia vipande vya muhogo gizani?
Yaps!Umeielewa post yangu lakini?