TANESCO board split on MD Rashidi's fate

TANESCO board split on MD Rashidi's fate

Quote: Bluray

1. Ulikuwepo humu wakati Zitto alipoleta muswada wake wa ethics hapa?

2. Unajua popularity aliyokuwa nayo Zitto wakati huo, kabla ya kuwa the so called "Mr. Dowans"? Practically the entire JF ilikuwa inamsupport.

3. Unajua nani ali dare kuuchambua huo mjadala point by point na kum criticize Zitto katika enzi ambayo hakuwa na mpinzani hapa JF? Unajua kwamba yours truly huyo huyo ndiye huyu anayedaiwa kutetea Zitto leo.

Amehojiwa lini, kuhusu issue gani, interview iko wapi, ina uhusiano gani na article ya "ThisDay" ninayoiongelea mimi, timeline imekaaje? Mimi assertion yangu kwamba waandishi wa ThisDay wamekosea kwa kufanya source JF imekosea wapi?

Hayo ndiyo maswali ambayo mtu aliye coherent angeweza kujaribu kunielewesha.

Si wewe, issue article ya "ThisDay" wewe unaenda kuleta article ya "Jambo Leo"

Either unajua article ya "ThisDay" ina stink na haiwezi kusimama hapa under scrutiny (I doubt your nose can smell anything) au unaendeleza culture yako ya kuwa hapharzardously and randomly incoherent.

Unamix madawa, unachanganya mambo tofauti.

Unachanganya proper sourcing na ruhusa ya source!

Unachanganya incident na principle

Unachanganya "ThisDay" na "JamboLeo"

Naangalia tu nione utachanganya nini zaidi.

- Sasa naenda kulala kesho nitaendelea ila for now naachia wananchi waamue mchele na pumba zilipo, pole pole huwa sina haraka mpaka nitakufikisha panapotakiwa!

Usiku mwema mkuu!

FMES!
 
- Sasa naenda kulala kesho nitaendelea ila for now naachia wananchi waamue mchele na pumba zilipo, pole pole huwa sina haraka mpaka nitakufikisha panapotakiwa!

Usiku mwema mkuu!

FMES!

Ushasema unaenda kulala mara ngapi wewe.

Sema midongo imekuzidi uzito tu.

Hapa tunakupiga mawe hata ukilala utayasikia kwenye ndoto urudi kupata dozi zaidi na zaidi.
 
Wale watu wenye doubts na uwezo wa Dr Idris , ningeomba kuwauliza maswali.
Kwanza Idris amekuwa CEO wa Tannesco kwa muda gani? Alirithi Tanesco ikiwa katika hali gani? Alikuwa na resources zipi? Kwa sasa Tanesco iko katika hali gani ikilinganishwa na wakati akiingia? Serikali/wanasiasa wame mpa ushirikiano kiasi gani?
Lazima tuwe wa kweli, hata kama mtu yeyote angepewa resources 200% over the required amount na bila kuingiliwa na wanasiasa, hiyo turn about mnayotaka isingeweza kupatikana kwa huo muda Dr Idris amekaa.
Hata mtu ukilima mazao ya biashara hutegimei kupata faida overnight ndiyo itakuwa Tanesco.
 
Quote: Bluray

1. Ulikuwepo humu wakati Zitto alipoleta muswada wake wa ethics hapa?

2. Unajua popularity aliyokuwa nayo Zitto wakati huo, kabla ya kuwa the so called "Mr. Dowans"? Practically the entire JF ilikuwa inamsupport.

3. Unajua nani ali dare kuuchambua huo mjadala point by point na kum criticize Zitto katika enzi ambayo hakuwa na mpinzani hapa JF? Unajua kwamba yours truly huyo huyo ndiye huyu anayedaiwa kutetea Zitto leo.
- Kabla sijaendelea na ku-present kesi yangu, naomba uweke wazi huyu uliyekua unamjadili hapo juu ni Zito yupi? Mbunge au siye?

- Nikirudi nitakuja kuendelea na kesi, lakini please jibu kwanza hili swali?

Later saa ya mzigoni sasa!
Bwa! ha! ha! ha!

FMEs!
 
1. Ulikuwepo humu wakati Zitto alipoleta muswada wake wa ethics hapa?

2. Unajua popularity aliyokuwa nayo Zitto wakati huo, kabla ya kuwa the so called "Mr. Dowans"? Practically the entire JF ilikuwa inamsupport.

3. Unajua nani ali dare kuuchambua huo mjadala point by point na kum criticize Zitto katika enzi ambayo hakuwa na mpinzani hapa JF? Unajua kwamba yours truly huyo huyo ndiye huyu anayedaiwa kutetea Zitto leo.

4. Kwa tarifa tu, nilianza kumlima Zitto wakati Zitto alikuwa halimiki humu. Bef yangu ni hii standard ya uandishi wa habari, kama huwezi kuamini uandishi utaamini vipi kilichoandikwa?

5. Kwa hiyo usije hapa kusema kwamba watu wanamtetea Zitto, kabla hata hatujaenda nyuma sana huko kwenye muswada wa ethics ambapo probably hukukumbuki kwa sababu hukuwa member hapa,

6. juzi tu Zitto kandika something about Salim nikamlima, kamuandika Kikwete in good light nikamlima kwamba hajawa firm kukataa ufisadi,

7. brother Mukandara akaja kuniunga mkono, sasa utasemaje kwamba mtu anaye demonstrate objectivity kama hivi, kumcriticize Zitto inapostahili, na kucriticize uandishi mbaya (ambao kwenu Machiavellians mnaona ni kumtetea Zitto pale inapostrahili)

8. Acheni hii simplistic approach, kutaka labelling na simple answers to complex questions.

.

- Haya huyu ni Zitto yupi mkuu? Mbunge au?

- Later!

FMEs!
 
Obviously huna the slightest idea ya tofauti kati ya scrutiny level inayotakiwa na kukubalika baina ya discussions za members online na newspaper report.

I know that without help you cannot even comprehend the above statement, najua ulivyo mtupu!

You have absolutely no idea, una ramble tu kama caveman.

Endelea tu kuji expose, the more you do this the more credibility you lose because serious people see you for who you are. A joker who cannot fin his bearings in an issue as simple as this.

Then unataka "kukata issue"!

Unachekesha kwelikweli.

Mimi naendelea kukubalasa wewe na waandishi wako uchwara.

Naona wanaendelezaa upuuzi wao hapa

Mtu na akili zake anawezaje kutetea upuuzi kama huu?
 
Obviously huna the slightest idea ya tofauti kati ya scrutiny level inayotakiwa na kukubalika baina ya discussions za members online na newspaper report.I know that without help you cannot even comprehend the above statement, najua ulivyo mtupu!

- Haya ni matusi yako ya kawaida ya kuficha uwezo wako mdogo wa kuelewa na kufikiri, siku zote kukimbilia maneno makubwa kutoka kwenye dictionary, wakati unajua kwamba huna lolote, ninakuomba swali dogo sana kwamba huyo uliyemjadili kule juu ni Zitto yupi mbunge au siye, badala yake unaleat matusi kwamba unajua sana, waliosoma na elimu kubwa kama unayodai kuwa nayo hawafanyi kazi unazofanya, tena mbili kwa wakati mmoja,

- Utupu wa bin-adam huanzia maisha yake ya kila siku na hasa nyumbani kwake, kabla hajaja hapa JF, wewe binafsi unalielewa hilo tena vizuri sana nisingependa kulifafanua zaidi maana itakuwa aibu nikiamua kuongelea utupu wako kichwani mwako mpaka kwenye maisha yako masikini ya Mungu, jibu swali dogo sana mkuu eti huyu Zitto unayemuongelea pale juu ni yupi mbunge au siye?

You have absolutely no idea, una ramble tu kama caveman.
Endelea tu kuji expose, the more you do this the more credibility you lose because serious people see you for who you are. A joker who cannot fin his bearings in an issue as simple as this. Then unataka "kukata issue"!
Unachekesha kwelikweli. Mimi naendelea kukubalasa wewe na waandishi wako uchwara. Naona wanaendelezaa upuuzi wao hapa
Mtu na akili zake anawezaje kutetea upuuzi kama huu?
- Hizi zako tunaita kelele za mlango, ni kelele za kichaa au mlevi asiyejua hatma yake, masikini ya Mungu, ninakuuliza swali dogo sana naomba usema huyu Zitto unayemjadili pale juu ni mbunge au siye, tizama majibu yako pumba tupu na inatia hata kinyaa kusoma, ka-degree kamoja kakusotea miaka saba tena kakubembeleza kulipiwa na serikali hiyo hiyo unayoitukana hapa kila siku, shukrani ya punda,

- Waandishi wa hii arrticle did a very good job, angalau viongozi wetu wote wa Tanzania sasa watajifunza kwamba uongozi ni dhamana tu kutoka kwa sisi wananchi, na kwamba tukishakupa uongozi ni lazima uwe makini maana hukulazimishwa kuwa na wapo wengine wengi wanaweza kuwa pia, kila unachosema ni kazi yetu wananchi kukipima uzito wake kwa masilahi ya taifa letu, it does not matter umesemea wapi ukisema umesema, tunawamiania waandishi wetu kutufikishia maneno yako na tutayachambua kama tulivyofanya hapa, na kiongozi kuishia kususa kwamba hatachangia tena, alipotuletea dataz za waziri wetu kusaini mkataba wa madini kule London hotelini hakuona tatizo juu ya upatikanaji wake, lakini leo amenukuliwa maneno tu tayari anasusa, ndivyo tulivyo!

- Utupu wa akili ni pale unapodai kwamba unataka kujua Integrity ya Source of the article, wote tunajua kuwa the source ni hapa JF ambapo na wewe ni member sasa what is your point kwamba hapa tuna Integrity ambayo ni suspect? Okay hiyo inakuweka wapi wewe kama ni member wa JF? Anajaribu kukata mti alioukalia mwenyewe, halafu eti ana elimu kubwa sana kuliko wote humu, pole sana kaka sasa nimeelewa chanzo cha matatizo yako mengi ya maisha kumbe ni majivuno hewa? Kujikweza kweza na kukimbilia Michuzi kujiweka weka mipicha na kujisheua sheua kumbe masikini ya Mungu ni mtupu kabisa kichwani, mkuu jitizame tena kwenye kioo halafu uje tena hapa usema kwamba una elimu na akili nyingi sana kuliko wote hapa, kwanza inatia kinyaa kwa tunaoelewa sasa usinilazimishe kumwaga mtama hapa!

- Bado ninasubiri jibu la swali langu dogo Zitto uliyemjadili pale juu ni yupi mbunge au? maana ndio the only way tunaweza kuendelea na huu mjadala respectively tukisha etsablish hilo kama Zitto mbunge kweli au siyo!

- Halafu soma tena hapo chini ni summary nzuri sana kuhusu mjadala mzima hapa, kwa maoni yangu!

FMEs!

Upande huu unasema kuwa Bw Zitto kaboronga na kafurunda kwa kutotambua kuwa he is an important political figure amidst our midst na hivyo chochote kile akisemacho hata akiwa peke yake msalani is hot news na kila mwananchi anayo haki ya kukizungumzia, seuze waandishi wa habari machachari kama hawa wa Kulikoni.

Pia, upande huu wa huyu Field Marshal unasema kuwa hii ni ishara nzuri kwani unaufanya ukumbi wa JF kuwa maarufu kwa wananchi. Wengi kati ya askari wa huyu Field Marshal wamewaomba waandishi wa habari waandike zaidi yale yanayozungumzwa kwenye ukumbi katika magazeti yao. Field Marshal na askari wake wakukodiwa wanamueleza Bw. Zitto kuwa amewavunja moyo sana sana sana hasa pale aliposema kuwa hatoshiriki tena kutoa maoni yake ukumbini akiogopa kuwa waandishi wa habari wanatumia maandishi yake kwa nia zao mbaya.

Upande wapili wa hii vita ni eti standards na etiquette za uandishi hazikutumika Pia hawa wa upande wapili wanataka Mhe apewe uhuru wa kusema alitakalo ukumbini JF na popote pale without being quoted by anyone, kwasababu yeye ni Mtanzania If you want to quote Mhe Zitto in any of your articles, itakubidi kwanza uende ukagonge mlango nyumbani kwake na umuulize…"eti yale uliyoyaandika ukumbini JF ni wewe au ni kivuli chako"?????
 
- Haya ni matusi yako ya kawaida ya kuficha uwezo wako mdogo wa kuelewa na kufikiri, siku zote kukimbilia maneno makubwa kutoka kwenye dictionary, wakati unajua kwamba huna lolote, ninakuomba swali dogo sana kwamba huyo uliyemjadili kule juu ni Zitto yupi mbunge au siye, badala yake unaleat matusi kwamba unajua sana, waliosoma na elimu kubwa kama unayodai kuwa nayo hawafanyi kazi unazofanya, tena mbili kwa wakati mmoja,

- Utupu wa bin-adam huanzia maisha yake ya kila siku na hasa nyumbani kwake, kabla hajaja hapa JF, wewe binafsi unalielewa hilo tena vizuri sana nisingependa kulifafanua zaidi maana itakuwa aibu nikiamua kuongelea utupu wako kichwani mwako mpaka kwenye maisha yako masikini ya Mungu, jibu swali dogo sana mkuu eti huyu Zitto unayemuongelea pale juu ni yupi mbunge au siye?

- Hizi zako tunaita kelele za mlango, ni kelele za kichaa au mlevi asiyejua hatma yake, masikini ya Mungu, ninakuuliza swali dogo sana naomba usema huyu Zitto unayemjadili pale juu ni mbunge au siye, tizama majibu yako pumba tupu na inatia hata kinyaa kusoma, ka-degree kamoja kakusotea miaka saba tena kakubembeleza kulipiwa na serikali hiyo hiyo unayoitukana hapa kila siku, shukrani ya punda,

- Waandishi wa hii arrticle did a very good job, angalau viongozi wetu wote wa Tanzania sasa watajifunza kwamba uongozi ni dhamana tu kutoka kwa sisi wananchi, na kwamba tukishakupa uongozi ni lazima uwe makini maana hukulazimishwa kuwa na wapo wengine wengi wanaweza kuwa pia, kila unachosema ni kazi yetu wananchi kukipima uzito wake kwa masilahi ya taifa letu, it does not matter umesemea wapi ukisema umesema, tunawamiania waandishi wetu kutufikishia maneno yako na tutayachambua kama tulivyofanya hapa, na kiongozi kuishia kususa kwamba hatachangia tena, alipotuletea dataz za waziri wetu kusaini mkataba wa madini kule London hotelini hakuona tatizo juu ya upatikanaji wake, lakini leo amenukuliwa maneno tu tayari anasusa, ndivyo tulivyo!

- Utupu wa akili ni pale unapodai kwamba unataka kujua Integrity ya Source of the article, wote tunajua kuwa the source ni hapa JF ambapo na wewe ni member sasa what is your point kwamba hapa tuna Integrity ambayo ni suspect? Okay hiyo inakuweka wapi wewe kama ni member wa JF? Anajaribu kukata mti alioukalia mwenyewe, halafu eti ana elimu kubwa sana kuliko wote humu, pole sana kaka sasa nimeelewa chanzo cha matatizo yako mengi ya maisha kumbe ni majivuno hewa? Kujikweza kweza na kukimbilia Michuzi kujiweka weka mipicha na kujisheua sheua kumbe masikini ya Mungu ni mtupu kabisa kichwani, mkuu jitizame tena kwenye kioo halafu uje tena hapa usema kwamba una elimu na akili nyingi sana kuliko wote hapa, kwanza inatia kinyaa kwa tunaoelewa sasa usinilazimishe kumwaga mtama hapa!

- Bado ninasubiri jibu la swali langu dogo Zitto uliyemjadili pale juu ni yupi mbunge au? maana ndio the only way tunaweza kuendelea na huu mjadala respectively tukisha etsablish hilo kama Zitto mbunge kweli au siyo!

- Halafu soma tena hapo chini ni summary nzuri sana kuhusu mjadala mzima hapa, kwa maoni yangu!

FMEs!

FMES umenifananisha au unacheza mind games, kwa taarifa tu mimi sijalipiwa na serikali hata senti tano nyekundu. Unlike some people I know ambao wamekaa kwenye nyumba za serikali na kulipiwa shule na serikali maisha yao yote, mpaka kuhamisha familia za ofisa wa ubalozi Uingereza arudi Tanzania kwa sababu watoto zao wapate nyumba za bure za kulipiwa na serikali.

Halafu watu hawa hawa wanakuja hapa na kujishaua kwamba wanapigana na ufisadi.

These same people of "They can go to Hell" fame, leo wanajitia kuja hapa kupigana na ufisadi wakati ufisadi ndio uliowazaa, kuwalea na kuwakuza.

Iko wapi ile makala ya Jenerali Ulimwengu kuhusu kitoto cha kifisadi kilicholelewa kifisadi na kukuzwa kifisadi hakiwezi kuepuka ufisadi hata kwa udi na uvumba.

Mimi ni hustler, sijawahi kulipiwa elimu ya juu na serikali ya Tanzania kwa taarifa yako. To the contrary, nawasaidia watanzania ndugu zangu promising ambao serikali imeshindwa kuwasomesha huko.I see you are fishing for personal information by pretending that you know me, the more you pretend to know me the more you show that you don't know jack about me.

Tafadhali sana kuhusu swala la kwamba mimi nimesema nina akili sana na distortion hizo, mimi sikusema hilo, na kusema kwako hilo kunathibitisha kile ninachokisema mara kenda mara kenda hapa, kwamba wewe hamnazo, kitu ambacho wewe unakichukulia kwamba mimi ninasema nina akili sana.

Mimi ninaweza kuwa na akili kidogo sana, lakini kuona kwangu kwamba wewe hamnazo kunathibitisha kwamba mtu hahitaji akili nyingi kukujua kwamba wewe mtupu.

Sijasema kwamba nina akili sana, nimesema wewe mtupu, hivi vitu viwili tofauti kama nilivyo point out hapo juu.

Huyu jamaa FMES inabidi wajaribu kumpunga madogori labda, labda kunaweza kutokea muujiza.But then again thats just wishful thinking, siamini miujiza, this guy is doomed.

Yaani mwenyewe kang'ang'ania JF source, JF source ya nani? Mtu unaenda kuandika kwenye gazeti kwamba fulani bin fulani kaandika JF? Ulimuona akiandika?

Watu wakiandika hapa na kutumia jina lako halisi FMES, halafu kesho ukawa quoted kwa jina lako halisi kwamba ni wewe uliyesema maneno mbofumbofu hapa utajisikiaje?

Mbona unashindwa kuelewa principle hii ndogo tu? hivi ni kweli unashindwa kuelewa standard ya verification ya uandishi ndogo hii au unafanya makusudi kwa sababu ya unazi wako.

Maana unajionyesha kuwa ni mtupu kiasi naanza kupata mashaka kama ni kweli mtupu hivyo au unaplay political games za "my political point of view, right or wrong".

Ka!
 
Huyu jamaa inabidi wajaribu kumpunga madogori labda. Yaani mwenyewe kang'ang'ania JF source, JF source ya nani? Ulimuona akiandika? Watu wakiandika hapa na kutumia jina lako halisi FMES, halafu kesho ukawa quoted kwa jina lako halisi kwamba ni wewe uliyesema maneno mbofumbofu hapa utajisikiaje?

- Either nitalia wameninukuu kwa nia mbaya na kususa kuchangia tena hapa, au nitawapeleka kwenye sheria kwamba wamevunja haki yangu ya kikatiba, ikibidi nitaomba radhi kwamba sikumaanisha nilichokisema, au nitanyamaza kimyaa!

- Au nitakanusha to the public kwamba anyeingia huko JF kwa jina kama langu na ku-imitate mambo yangu mengi ya kila siku sio mimi Zitto mbunge!

Mbona unashindwa kuelewa principle hii ndogo tu? hivi ni kweli unashindwa kuelewa standard ya verification ya uandishi ndogo hii au unafanya makusudi kwa sababu ya unazi wako.

- Standards za verifications zinahitajika pale tu, muandishi anapokuwa hana uhakika na ID ya anayem-quote, which is not the ishu here, maana muandishi aliyeandika ana all the facts na evidence kwamba ame-quote maneno ya Zitto, mbunge, asingekua basi Zitto mbunge angeshapiga kelele kuwa sio yeye kwa sababu hajapiga hizo kelele basi ni yeye, otherwise the burden is on him kukanusha kuhusika na JF.

Maana unajionyesha kuwa ni mtupu kiasi naanza kupata mashaka kama ni kweli mtupu hivyo au unaplay political games za "my political point of view, right or wrong".Ka!

- Nimekumekuonya before na ninakuonya tena kwamba jadili hoja, usinilazimishe kwenda hii avenue ya personal, si unajijua ulivyo mtupu mkuu mpaka nimwage mtama hapa, wewe kata ishu, ninakupa the last freee pass na personal attacks, acha mkuu utajivua nguo hapa bure!

- By the way: Ninakuuliza kwa mara ya mwisho uliyekuwa unamjdaili pale juu ni Zitto mbunge au siyo yeye bado nasubiri hilo jibu! kama haliji then sina muda zaidi wa kupoteza!

FMEs!
 
FMES umenifananisha au unacheza mind games, kwa taarifa tu mimi sijalipiwa na serikali hata senti tano nyekundu. Unlike some people I know ambao wamekaa kwenye nyumba za serikali na kulipiwa shule na serikali maisha yao yote, mpaka kuhamisha familia za ofisa wa ubalozi Uingereza arudi Tanzania kwa sababu watoto zao wapate nyumba za bure za kulipiwa na serikali. Halafu watu hawa hawa wanakuja hapa na kujishaua kwamba wanapigana na ufisadi. These same people of "They can go to Hell" fame, leo wanajitia kuja hapa kupigana na ufisadi wakati ufisadi ndio uliowazaa, kuwalea na kuwakuza. Iko wapi ile makala ya Jenerali Ulimwengu kuhusu kitoto cha kifisadi kilicholelewa kifisadi na kukuzwa kifisadi hakiwezi kuepuka ufisadi hata kwa udi na uvumba.

- Hapa ukiulizwa kutoa ushahidi huna mkuu, mimi sijawahi kuishi London kwenye any ubalozi na sijui unachosema, mimi nilikuwa Baharia na shule nimejisomesha mwenyewe US kwa hela zangu za kufanyia kazi mwenyewe, nilipoenda US nilienda kwa nauli yangu mwenyewe sikupelekwa na serikali kaa sababu baba yangu ni ofisa uchwara wa ubalozi, sikusomehswa na serikali kule US kwa sababu baba yangu alikwa ofisa wa ubalozi na kuachiwa nusu kwa sababu baba anarudishwa bongo, na baadaye kuachishwa shule kwa kushindwa kulipa, mpaka baba yangu alipofanya deal na Mwapachu na kupewa pesa kidogo aachie ubunge ndio na mimi akaniombea nisomeshwe na serikali tena ndio nikamaliza shule, hapana sasa kama ni mtoto wa fisadi nafikiri ukweli unajisema hapo wazi nani ni nani,

Mimi ni hustler, sijawahi kulipiwa elimu ya juu na serikali ya Tanzania kwa taarifa yako. To the contrary, nawasaidia watanzania ndugu zangu promising ambao serikali imeshindwa kuwasomesha huko.I see you are fishing for personal information by pretending that you know me, the more you pretend to know me the more you show that you don't know jack about me.
- Hakuna popote niliposema ninakujua, isipokuwa unaposema nimesomeshwa na kukua kifisadi hapo ndipo unaposema unanijua, sasa unaona unavyojisema mwenyewe, toka Ijumaa nimekuambia acha hizi personal attacks jadili hoja, sasa lets take that raod mkuu ya personal, sina noma!

Tafadhali sana kuhusu swala la kwamba mimi nimesema nina akili sana na distortion hizo, mimi sikusema hilo, na kusema kwako hilo kunathibitisha kile ninachokisema mara kenda mara kenda hapa, kwamba wewe hamnazo, kitu ambacho wewe unakichukulia kwamba mimi ninasema nina akili sana.
Mimi ninaweza kuwa na akili kidogo sana, lakini kuona kwangu kwamba wewe hamnazo kunathibitisha kwamba mtu hahitaji akili nyingi kukujua kwamba wewe mtupu. Sijasema kwamba nina akili sana, nimesema wewe mtupu, hivi vitu viwiltofauti kama nilivyo point out hapo juu. Huyu jamaa FMES inabidi wajaribu kumpunga madogori labda, labda kunaweza kutokea muujiza.But then again thats just wishful thinking, siamini miujiza, this guy is doomed. Yaani mwenyewe kang'ang'ania JF source, JF source ya nani? Mtu unaenda kuandika kwenye gazeti kwamba fulani bin fulani kaandika JF? Ulimuona akiandika? Watu wakiandika hapa na kutumia jina lako halisi FMES, halafu kesho ukawa quoted kwa jina lako halisi kwamba ni wewe uliyesema maneno mbofumbofu hapa utajisikiaje? Mbona unashindwa kuelewa principle hii ndogo tu? hivi ni kweli unashindwa kuelewa standard ya verification ya uandishi ndogo hii au unafanya makusudi kwa sababu ya unazi wako. Maana unajionyesha kuwa ni mtupu kiasi naanza kupata mashaka kama ni kweli mtupu hivyo au unaplay political games za "my political point of view, right or wrong".
Ka!
- Bin-adam mwenye kupungukiwa akili na ni mtupu kichwani na kuhitaji madogori ni yule anyepiga mke na kushikwa na polisi mpaka kulala Rumande na kuwekewa sheria na mahakama asimsogelee mkewe wake mwenyewe aliyemuoa kwa hiari yake, ukiona binadam amefikia hapo basi ana matatizo makubwa sana na anahitaji msaada sana, sasa inachekssha sana anapikuja hapa na kudai kwamba ana akili sana, ndio tunasema tunajiuliza ni akili zipi hizo?

- Next time nijibu swali langu je uliyemjadili pale juu ni Zitto mbunge au sie? Otherwise, sitapoteza muda wangu tena na kukujibu nonsense!

FMEs!
 
I m actually amused.Mtu ambaye hana mke amepiga mke.MMtu ambaye hana record hata ya complain za nosy neighbor ana rekodi polisi.Mtu ambaye hakusoma hata kwa kutumia mkopo wa mnyamwezi aliokuwa na access nao kasomeshwa na serikali ya tanzania.Tena kaonekana DC.

Mara nimepata degree kwa miaka saba kwa kutumia hela za serikali ninayoikandya (unanijua vizuri sana kwa minajili hii)

Mara hunijui.

The king of incoherency. Najitahidi kutafuta mtu aliye more incoherent humu ndani sijampata bado.
 
Wale watu wenye doubts na uwezo wa Dr Idris , ningeomba kuwauliza maswali.
Kwanza Idris amekuwa CEO wa Tannesco kwa muda gani? Alirithi Tanesco ikiwa katika hali gani? Alikuwa na resources zipi? Kwa sasa Tanesco iko katika hali gani ikilinganishwa na wakati akiingia? Serikali/wanasiasa wame mpa ushirikiano kiasi gani?
Lazima tuwe wa kweli, hata kama mtu yeyote angepewa resources 200% over the required amount na bila kuingiliwa na wanasiasa, hiyo turn about mnayotaka isingeweza kupatikana kwa huo muda Dr Idris amekaa.
Hata mtu ukilima mazao ya biashara hutegimei kupata faida overnight ndiyo itakuwa Tanesco.

Mkuu, wewe usiye na doubts naomba nikukumbushe tu kwa hii hotuba ya huyo aliyemteua Dr. Idris.

Mwezi wa tano mwaka 2006, Raisi Jakaya Mrisho alikuwa na haya ya kusema kwa wadau wa Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI).

"We have been grappling with this problem for quite some time now – but only with ad hoc measures.The recent power problems have afforded us the opportunity to rethink our energy strategy in holistic terms. We have learnt that ad hoc measures are costly in the long run and have their own limits. As we grapple with our energy problem, we are witnessing an upsurge of interest for investments in power generation in Tanzania. We are confident that in two years time, we will be on course to realize reliable power supply in Tanzania.
.
Miezi sita baadaye
Dr. Idris Rashidi akateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tanesco. Miaka miwili ikapita na sasa mwaka wa nne unakatika na ad hoc measures bado ziko pale pale na reliable power supply nchini bado ni ndoto. Ajabu ni kwamba Dr. Idris naye bado yuko pale pale na kuna mbinu zinafinyangwa aendelee pamoja na kushfa lukuki alizozivaa utafikiri shati. Si hayo tu amewahi hata kudiriki kutishia nchi kuingia gizani kama mitambo ya wizi haikununuliwa.
Tanesco inatangaza rasmi kujitoa kwenye nia yake ya kununua mitambo hii. Ni imani yetu kwamba tumekwisha kujieleza na kujenga hoja za kutosha, na wananchi wa Tanzania, watafanya maamuzi yao hapo ambapo nchi itakapokuwa imegubikwa na kiza, hospitali hazitoi huduma, viwanda havizalishi, wanafunzi vyuoni wanashindwa kusoma kwa sababu tulishindwa kufanya maamuzi
Hiki kiburi kinatoka wapi na kinatokana na nini - miaka minne ya kuongoza shirika linalohodhi nishati muhimu kama umeme, leo anathubutu kutamka huu uchuro ! God dammit, halafu kuna mtu anajitokeza kumtetea eti best CEO, come on, give me a break ! Halafu ndani ya JF home of great thinkers wanatokeza watu kumuunga mkono, I give up.
 
Mkuu, wewe usiye na doubts naomba nikukumbushe tu kwa hii hotuba ya huyo aliyemteua Dr. Idris.

Mwezi wa tano mwaka 2006, Raisi Jakaya Mrisho alikuwa na haya ya kusema kwa wadau wa Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI).

.
Miezi sita baadaye
Dr. Idris Rashidi akateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tanesco. Miaka miwili ikapita na sasa mwaka wa nne unakatika na ad hoc measures bado ziko pale pale na reliable power supply nchini bado ni ndoto. Ajabu ni kwamba Dr. Idris naye bado yuko pale pale na kuna mbinu zinafinyangwa aendelee pamoja na kushfa lukuki alizozivaa utafikiri shati. Si hayo tu amewahi hata kudiriki kutishia nchi kuingia gizani kama mitambo ya wizi haikununuliwa.
Hiki kiburi kinatoka wapi na kinatokana na nini - miaka minne ya kuongoza shirika linalohodhi nishati muhimu kama umeme, leo anathubutu kutamka huu uchuro ! God dammit, halafu kuna mtu anajitokeza kumtetea eti best CEO, come on, give me a break ! Halafu ndani ya JF home of great thinkers wanatokeza watu kumuunga mkono, I give up.

Kuna factors nyingi zinazochangia kwa organisation isifikie malengo and part of them ni foreseeable and unforeseable factors. Rais alipozungumza alikuwa anaelezea vision ya yake na expectation zake kwa Tanesco.

Unapozungumzia competence ya mtu zungumzia facts na usiwe subjective kwa kuelezea hisia zako eti una give up!! Give up baada ya kutoa facts na sio kuwa bias pasina kuwa na vigezo vinavyomtuhumu Dr.Idris JF wengi wetu tunajitia wataalam but naona mara nyingi tunapiga siasa tu. Competence ya mtu inapimwa na results na sio blah blah!!! tupeni facts zinazoonyesha kuwa hafai idrissa. Na tutoe relative performance metrics za idriss against other prior management. Venginevyo mnatuelezea hisia zenu which mwisho wa siku tunaweza kusummarize as majungus.

Hatuna critical analysis ya kwanini Tanesco kwa Dr. Idris haifai zaidi ya majungu majungu. Hatuna facts zinazomtoa Dr. Idriss katika UCEO badala yake mnatoa arbitrary arguments ambazo to me ni rubish and does not make any sense nadhani mjadala tusummarize kuwa hakuna hoja inayomzuia Dr. Idriss asiwe tena CEO zaidi vimajungu majungu vya watu.

Nakaribisha hoja!!!
 
Mag3. My sentiments exactly. Huyu bwana hajawahi hata kuweka wazi ( isipokuwa pengine kwenye hizo ripoti kwa waheshimiwa wakina Zitto) ni namna gani tutatoka kwenye haya matatizo tuliyo nayo. Anapojitokeza ni kutishia nyau; nitajiuzulu, nisilaumiwe kwa yatakayotokea n.k.
Hatufai, period.

Amandla.......
 
Kuna factors nyingi zinazochangia kwa organisation isifikie malengo and part of them ni foreseeable and unforeseable factors. Rais alipozungumza alikuwa anaelezea vision ya yake na expectation zake kwa Tanesco.

Unapozungumzia competence ya mtu zungumzia facts na usiwe subjective kwa kuelezea hisia zako eti una give up!! Give up baada ya kutoa facts na sio kuwa bias pasina kuwa na vigezo vinavyomtuhumu Dr.Idris JF wengi wetu tunajitia wataalam but naona mara nyingi tunapiga siasa tu. Competence ya mtu inapimwa na results na sio blah blah!!! tupeni facts zinazoonyesha kuwa hafai idrissa. Na tutoe relative performance metrics za idriss against other prior management. Venginevyo mnatuelezea hisia zenu which mwisho wa siku tunaweza kusummarize as majungus.

Hatuna critical analysis ya kwanini Tanesco kwa Dr. Idris haifai zaidi ya majungu majungu. Hatuna facts zinazomtoa Dr. Idriss katika UCEO badala yake mnatoa arbitrary arguments ambazo to me ni rubish and does not make any sense nadhani mjadala tusummarize kuwa hakuna hoja inayomzuia Dr. Idriss asiwe tena CEO zaidi vimajungu majungu vya watu.

Nakaribisha hoja!!!

Basi wewe weka facts za kuonyesha kuwa huyu bwana anastahili hiyo sobriquet ya kuwa ni one of the best CEOs in this country of ours.

Huko kulinganisha na predecessors wake unataka tuanzie wapi? Kwa wakina Kasambala? Au unadhani Tanesco ilianza na Net-Group?

Amandla.......
 
According to Zitto,

"Moja tu - Amechukua u CEO pakiwa na hasara ya 162bn kwa mujibu wa audited accounts za 2006. 2007 hasara ilishuka mpaka 67bn. 2008 imeshuka mpaka 30bn na mpaka june 2009 tayari TANESCO ilikuwa imebreak even. Kama sio mgawo wa Septemba, Oktoba na Novemba wangepata faida mwaka huu.

Mbili - kwa mara ya kwanza Taasisi za fedha zimekopesha TANESCO 400bn na wana service mkopo huo bila tatizo lolote na hivyo kuweka mazingira ya kukopa zaidi.

Tatu - Shirika lina mpango wa muda mfupi, wa kati na mrefu wa kuzalisha na kusambaza umeme. Miradi yote ya kuanzia mwaka jana imekwamishwa na Serikali kama Mhisa mkuu.

Nne - Sasa Shirika lina rejesta ya mali zake zote (zenye thamani ya 1bn usd) na wakati Rashidi anaingia CAG alitoa disclaimer audit opinion kwa kuwa pamoja na mambo mengine Shirika halikuwa na orodha na thamani halisi ya mali zake. NHC wana tatizo hilo na Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma iliwatimua na mpaka leo hawajaweza kufanya kama TANESCO.

Tano - Yupo very clear anataka Shirika lifike wapi kwa muda gani. Kwa mfano kama Mhisa pekee (serikali) angetekeleza commitment zake na faida iliyotarajiwa mwaka huu ikawa realised, lengo lilikuwa ni kustain faida kwa miaka mitatu ili TANESCO iuze hisa zake DSE na hivyo public listed company - kuongeza uwazi kwa mujibu wa masharti ya PLCs."

Hizi figures zinaonyesha kwanza kiongozi wa pale juu anavision na shirika analoliongoza na sio kukosa mwelekeo. Na pili anaazma ya kulinasua shirika katika ukata. Kuhusiana na benchmark kwanza jiulize ni wakati gani shirika lilianza kuwa na madeni na matatizo ya kifedha ndio utapata jibu la benchmark ya kumeasure relative performance. Pili no one had the audacity of facing ministers ask for the repayment of the outstanding debt ya shirika. Jamaa amewaface walipe hayo madeni je hao mabest CEO wenu akina Kasambala walikuwa wapi??? Unaijua sababu ya NetGroup wakatimka walikuwa wakiwadai madeni makampuni ya vigogo ambao walikuwa hawalipi wakipitisha vimemo wasamehewe madeni wazungu wakaona huo ni ujinga na upumbavu.

Tatu hivi jamani mnaosema eti Dr.Idriss alitumia uzoefu wake kusecure almost 400bn from Financial Institution mna akili kweli. Unadhani kuna benki particularly private banks zikakubali kutoa pesa tu kwasababu ya kumfahamu mtu pasina kuwa na facts figures and vision inayomake sense. Mie kwa experience yangu ya benki sidhani hilo linawezekana ndio uzoefu matters but audited financial statements, liquidity, collateral are among other factors zinazoangaliwa kwasababu mteja akidefault MD au GM unakuwa katika kiti moto katika board. Je utaka kutwambia wale wenye mabenki walikuwa wendawazimu kuwakopesha pesa zote.

Sasa hivi hadi mashirika ya nje ya kipesa yanafikiria kuikopesha Tanesco maana watanzania tuna mentality ya mzungu yuko right je nao wendawazimu acheni majungu na uzushi usio na maana. Takataka kama hii ndio imesababisha ATC ikafa hivi hivi shirika lina madeni kibao, haliendeshwi kifaida wadaiwa hawalipwi mwisho wa siku shirika linakufa. Serikali wameibail out but kama kuna poor management do not expect miracles.
 
Sasa unaleta hearsay na kudai kuwa ni facts? Ingekuwa facts basi angebandika angalau sehemu ya hizo audited accounts. Na hizo round figures hazimo kwenye facts.

Kufanikiwa kukopeshwa si dalili ya utendaji bora hasa katika mazingira ya kwetu. Swali ni kuwa huo mkopo wameufanyia nini?

Tuambie hiyo mipango ni ipi? Target zao ni zipi? Na ni miradi ipi iliyomo kwenye hiyo mipango iliyokwamishwa na serikali?

Kuwa na rejesta ya mali yeyote ni kitu ambacho any CEO woth his or her salt atakiwa kufanya. Kwamba waliomtangulia walikuwa incompetent hakumfanyi yeye kuwa the best!

Huo u-clear amemweleza nani? Wewe haujui umategemea maneno ya Zitto. Badala ya kunong'onezana basi aweke wazi hiyo vision yote ili wote tuione. Unfortunately, muda umeishapita na sasa hivi ni too late.

Hao wakina Kasambala kwani walikuwa wakiidai serikali? Huyu unayemtetea wote tunajua kuwa yuko karibu na mheshiwa rais na inawezekana hicho ndicho kilichomwezesha kudai hayo madeni. Swali ni kuwa baada ya kulipwa, amefanyia nini?

Hamna ulichosema ambacho kimenibadili mawazo. Aondoke. Hatufai.

Amandla....
 
Tupe wewe facts basi badala kutoa subjective arguments sema kwanini aondoke na kwasababu zipi?

Unadai katika thread iliyopita kuhusu nyumba je swali langu hujajibu board ilikuwa wapi wakati huo?

Kuhusu ukaribu wa Dr Idriss na Rais again majungu unahakika gani alitamka wazi? au umesoma katika GlobalPublishers?

Acheni uzushi wa kijinga na majungu nipe facts kwanini Dr Idriss aondoke mniconvince but out of 44 pages of this thread hakuna hoja wala argument inayobadilisha mawazo.

Mie naona Dr.Idriss anafaa na probably kama Zitto alivyosema he is one of the best CEO katika Parastatals zetu
 
Mangapi bodi zetu wamepitisha ambayo ni bomu? Kama utetezi wako kuhusu matumizi mabovu ni kuwa bodi imepitisha basi inaonyesha jinsi usivyoijua nchi yako.

Don't flatter yourself. Hakuna anayetaka kuku-convince. Wewe umeshindwa kuleta facts. Mtu ambaye tungetegemea angeweza kutuletea hizo facts ndiye huyo ameleta za ovyo ovyo tu.

Hatujawahi hata siku moja kudai kuwa tuko Tanesco, serikalini, au bungeni kwa hiyo tuna access na hizo facts. Uamuzi wetu ni kutokana na yale yaliyopo kwenye public domain. Na yaliyopo kwenye public domain ndiyo hayo yanayoonyesha udhaifu wa huyu unayemtetea.

Kwani nani kasema kuwa karibu na Rais ni dhambi? Si kila kitu kilichomo kwenye public domain, including wakina Global Publishers, ni majungu.

Mtu wako hatufai.

Amandla.......
 
Back
Top Bottom