Siku Moja nilienda kutoa huduma hospitali nikaingia leba wodi. Mule nilimkuta mtoto yuko kwenye oxygen. Ghafla umeme ulikatika na bahati mbaya Ile standing generator ikagoma kuwaka kwa dakika kumi, niliumia sana moyoni.
Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike maeneo ya hospitali?
Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike maeneo ya hospitali?