TANESCO hawana namna ya kufanya umeme usikatike maeneo ya Hospitali?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Siku Moja nilienda kutoa huduma hospitali nikaingia leba wodi. Mule nilimkuta mtoto yuko kwenye oxygen. Ghafla umeme ulikatika na bahati mbaya Ile standing generator ikagoma kuwaka kwa dakika kumi, niliumia sana moyoni.

Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike maeneo ya hospitali?
 

Hawawezi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…