kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 882
- 1,262
- Thread starter
- #21
huu Ni utakuwa utapeli Sasa, Kuna mtu Ni fukara haswaa,alishindwa kuvuta umeme kwa miaka mingi,aliposikia Bei imeshuka ndio alishawishika kwenda kulipia aunganishiwe umeme,,leo umuambie eti hatounganishiwa Hadi aongeze pesa, hataipata wapi hiyo ya ziada,ilhali ana dhiki Hadi kwenye macho!Hio ndiyo mfumo wa Tanzania ulivyo
Kwenye mashirika na tasisi zetu
Mpaka utoe hela ya ziada ndiyo wakufanyie zoezi lao
Ova