Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukirudi utanipa mwongozo,maana wamezidi na ushahidi ninao kabisa.mkuu hawa tunawashtaki soon, sio haki, mi nipo Zambia,nikirudi huko nataka nianze mchakato huo
Noted, apology accepted.Sorry dist111 nimekengeuka kwa sababu experience yangu juu ya hilo shirika ni hazizidi week 3 . Siwapendi
Yaan jamaa ni mbovuuuuJanuary Makamba atoke, kashindwa kazi
Nitawapeleka mahakamani tanesco Tanzania tokea 22/10/2021 mpaka leo hawataki kunifungia umeme Kama pesa ni ndogo waliipokea ya nini? huo ni utapeli Kama wakijipatia pesa kwanjia ya uraghaiSio kweli waliolipia 27,000 kabla ya bei kubadilishwa wote wataunganishwa ni suala la muda tu demand ilikuwa juu sana yaani wateja waliolipia walikuwa wengi mno tofauti kabisa na vifaa vilivyopo ni sawa umelipa 27k lakini gharama halisi ya vifaa pamoja na mita inazidi 250k unadhani hiyo nyingine wanaipata wapi? Serikali haitoi ruzuku
Mzee Mimi nimelipia 22/10/2021 mpaka leo ni chenga chenga.. nitawapeleka mahakamani kwa wizi wa kuaminika wamekusanya elfu 27 zetu alafu leo waje waseme hazitoki huo ni utapeli Kama utapeli mwingine..0757415111 Nicheki tuunganishe nguvu tukawafungulie madai ya fidia ya billion 10...Weka hiyo clip wakisema kuwa lazima eti tuongeze hela ndio watuunganishie wateja ambao tushalipia kwa Bei ya 27000, watarudisha hela zetu na riba, we subiri, tutawaburuza mahakamani Hawa,
Maana Kuna mtu ameshindwa kupangisha jengo lake sababu umeme hajaunganishiwa Hadi leo, sasa watatulipa ghalama zetu kwa Muda waliotukosesha mapato
Hakuna cha bei ya zamani wala mpya watu wamelipia umeme miezi kibaaao lakini hawaunganishiwi wala nini na kipara yupo tu ufisini, maharage naye yupo tu ,kwa kweli bora hata yule mzee kalamaini alikua ana uqwezo wa kupiga mkwala mambo yakaenda hawa wasasahivi tumepigwa na kitu kizito kichwani, halafu wanalata sanaaa etiE Konect sijui ushuzi gani , Tanesco ni TAKATAKA...tuwapeleke mahakamani tudai fidia ya milion kumi kila mtu