huu Ni utakuwa utapeli Sasa, Kuna mtu Ni fukara haswaa,alishindwa kuvuta umeme kwa miaka mingi,aliposikia Bei imeshuka ndio alishawishika kwenda kulipia aunganishiwe umeme,,leo umuambie eti hatounganishiwa Hadi aongeze pesa, hataipata wapi hiyo ya ziada,ilhali ana dhiki Hadi kwenye macho!Hio ndiyo mfumo wa Tanzania ulivyo
Kwenye mashirika na tasisi zetu
Mpaka utoe hela ya ziada ndiyo wakufanyie zoezi lao
Ova
Kuna mzee mmoja Mwanza Alilipia 27000 Mwezi wa 8 Mwaka JanaHao TANESCO Ni Wala Rushwa wakubwa kuliko watu wowote nchi hii Bora hata Polisi, huduma mbovu mlungula wanachukua, Makamba weka displine fukuza Wala Rushwa wote usiwaonee huruma, hatuwezi kuwa na shirika kupata huduma utoe hela wakati wanalipwa mishahara mikubwa tu.
Una hamu na makushabu?Acha matusi sasa arraa! Na kweli we ni kupuliza kama yule wa"kayashughulikieni huko"!!!
Wachunga ng'ombe wanaona hii tz nzima ni Kalemani pekee ndie mwenye weledi wakuongoza wizara ya nishati,katabia flani hivi kakipuuzihapana,Wala sio issue ya January Makamba kutoka, nanyie acheni siasa zenu za kipuuzi,akitoka yeye ndio itakuwa nini au aje nani
Wachunga ng'ombe wanaona hii tz nzima ni Kalemani pekee ndie mwenye weledi wakuongza wizara ya nishati,katabia flani hivi kakipuuzihapana,Wala sio issue ya January Makamba kutoka, nanyie acheni siasa zenu za kipuuzi,akitoka yeye ndio itakuwa nini au aje nani
Huyo mtu ana dhiki hadi kwenye macho ila amejenga/anamiliki nyumbahuu Ni utakuwa utapeli Sasa, Kuna mtu Ni fukara haswaa,alishindwa kuvuta umeme kwa miaka mingi,aliposikia Bei imeshuka ndio alishawishika kwenda kulipia aunganishiwe umeme,,leo umuambie eti hatounganishiwa Hadi aongeze pesa, hataipata wapi hiyo ya ziada,ilhali ana dhiki Hadi kwenye macho!
nadhani we binti bado hujui maisha, unadhani kila mwenye nyumba yupo vizuri kiuchumi?!Huyo mtu ana dhiki hadi kwenye macho ila amejenga/anamiliki nyumba
Wapuuzi Sana hao jamaa,utadhani tangu tupate Uhuru bwana mdogo Kalemani ndio alikuwa waziri wa NishatiWachunga ng'ombe wanaona hii tz nzima ni Kalemani pekee ndie mwenye weledi wakuongza wizara ya nishati,katabia flani hivi kakipuuzi
Mwizi tu huyo. Mmejaa humu mnaochukua posho kwake mnamtetea. Huyo ameshindwa kazi aachie haraka. Yeye ndio waziri hili liko ndani yake na ndie alieamua watu wapigwe chenga waliolipia 27000 kipindi cha 27000.hapana,Wala sio issue ya January Makamba kutoka, nanyie acheni siasa zenu za kipuuzi,akitoka yeye ndio itakuwa nini au aje nani
ku**&% ny^^ko! bado kidogo! wote mtaliwa kibogaUna hamu na makushabu?
😄😄 Kwa hio Mama Mangi umepaniki?ku**&% ny^^ko! bado kidogo! wote mtaliwa kiboga
wanachofanya ni uhuni kwakweliHuu ni upuuzi, je ingetokea kwamba mtu aliyelipa 27,000/- na kuunganishwa (naamini wapo) halafu Bi. Tozo alivyokana maelekezo yake mwenyewe na kubadili bei, je angefuatwa na kukatiwa umeme na kushurtishwa kulipa tofauti ya bei waliyoamua inafaa?
Kitendo cha kuchukua pesa ya mtu na kumpa stakabadhi tayari kushamfanya mpokea pesa kuwa mdaiwa, kwa sababu amechukua fedha kwa makubaliano ya kutoa huduma/bidhaa, mabadiliko yeyote baada ya malipo hayamuhusu mlipaji.