Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

Tunapaswa kuundoa mfumo ccm madarakani mapema ni hatari kwa ustawi wa nchi yetu.
unadhani Tatizo ni ccm tu pekee,Mimi nadhani Kuna shida pia zaidi kwa Hawa wasomi wetu,
Wasomi njaa
 
Hakuna cha bei ya zamani wala mpya watu wamelipia umeme miezi kibaaao lakini hawaunganishiwi wala nini na kipara yupo tu ufisini, maharage naye yupo tu ,kwa kweli bora hata yule mzee kalamaini alikua ana uqwezo wa kupiga mkwala mambo yakaenda hawa wasasahivi tumepigwa na kitu kizito kichwani, halafu wanalata sanaaa etiE Konect sijui ushuzi gani , Tanesco ni TAKATAKA
 
Nitawapeleka mahakamani tanesco Tanzania tokea 22/10/2021 mpaka leo hawataki kunifungia umeme Kama pesa ni ndogo waliipokea ya nini? huo ni utapeli Kama wakijipatia pesa kwanjia ya uraghai
 
Mzee Mimi nimelipia 22/10/2021 mpaka leo ni chenga chenga.. nitawapeleka mahakamani kwa wizi wa kuaminika wamekusanya elfu 27 zetu alafu leo waje waseme hazitoki huo ni utapeli Kama utapeli mwingine..0757415111 Nicheki tuunganishe nguvu tukawafungulie madai ya fidia ya billion 10...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…