Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi imekuwa ya rushwa ,rushwa tupu kila mahaliIshi Kitanzania,ccm na serikali yake wametulemaza yaani imewadekeza na kuwaacha wafanyakazi wake kufanya wanavyotaka.
Siyo huyo surveyor tu,utashangaa zaidi siku watakuja kukuwekea wire hao hao watakwambia kwa jinsi hapa palivyo inabidi zoezi tuliahirishe umuite surveyor upya aje aangalie sasa usipojiongeza watakuacha gizani,mimi walikuja wakaanza kupiga piga simu unajua main switch sijui umeweka jikoni hairuhusiwi nikawaambia nyie ingizeni wire halafu mkimaliza mniambie faster tu ukawaka.
Ungemuuliza hiyo hela anayotaka ni yanini Je inarisiti au ni matakwa binafsi.Tujifunze kutengeneza Critical questions.Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi?
Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
Nguzo nne ni zaidi ya milioni na usheee. Laki nne siokweliMimi sehemu yangu ina nguzo nne wamenituna laki nne na nusu
I dont know labda kwa kuwa kijijini thats the amount walinitajiaNguzo nne ni zaidi ya milioni na usheee. Laki nne siokweli
Watakuambia wape namba yako ya simu, utaje mahali ulipo, usipokuwa makini utapigwa na kitu kizitoKuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi?
Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
Tengeneza critical question ufungiwe umeme baada ya miezi 11.Ungemuuliza hiyo hela anayotaka ni yanini Je inarisiti au ni matakwa binafsi.Tujifunze kutengeneza Critical questions.
Ungemuuliza hiyo hela anayotaka ni yanini Je inarisiti au ni matakwa binafsi.Tujifunze kutengeneza Critical questions.
Ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, huduma zote zinazolipiwa huwa mteja anaelekezwa na shirika jinsi ya kulipia na huwa na control namba, hivyo saveya hatakiwi kukulipisha kwa huduma yoyote kama hujapewa contol number ya malipo ya serekali.^OKWatakuambia wape namba yako ya simu, utaje mahali ulipo, usipokuwa makini utapigwa na kitu kizito
Ni sawa na mgonjwa yuko mahututi, na kuanza kubishana na daktari; utadungwa sindano ya diesel.Ungemuuliza hiyo hela anayotaka ni yanini Je inarisiti au ni matakwa binafsi.Tujifunze kutengeneza Critical questions.
WashakujibuNdugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, huduma zote zinazolipiwa huwa mteja anaelekezwa na shirika jinsi ya kulipia na huwa na control namba, hivyo saveya hatakiwi kukulipisha kwa huduma yoyote kama hujapewa contol number ya malipo ya serekali.^OK
Unavyojibu utadhani hujui kinachoendelea huko SiteNdugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, huduma zote zinazolipiwa huwa mteja anaelekezwa na shirika jinsi ya kulipia na huwa na control namba, hivyo saveya hatakiwi kukulipisha kwa huduma yoyote kama hujapewa contol number ya malipo ya serekali.^OK
Ni kama wameunganisha jukwa na roboti zao
Ha ha haaaàa🤣😂🤣😂Unavyojibu utadhani hujui kinachoendelea huko Site
Tanesco, halmashauri na ardhi ni moja ya magenge ya kiharifu dhidi ya wananchi hapo TanzaniaKuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi?
Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.