TANESCO, hii hela ambayo surveyor anadai kulipwa na mteja pale anapotaka kuvutiwa umeme ipo nje ya wajibu wake?

TANESCO, hii hela ambayo surveyor anadai kulipwa na mteja pale anapotaka kuvutiwa umeme ipo nje ya wajibu wake?

Ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, huduma zote zinazolipiwa huwa mteja anaelekezwa na shirika jinsi ya kulipia na huwa na control namba, hivyo saveya hatakiwi kukulipisha kwa huduma yoyote kama hujapewa contol number ya malipo ya serekali.^OK
Saveya ndio nini? na unaandika kwa kutumia account ya shirika! mimi nilikereka sana pale Surveyor alipokuja kuniambia nilipie nguzo tatu sh 698000 na wakati nipo kijijini.! nikamuambia asipeleke repot ofisini. nikanunua solar kwanza. inasikitisha sana.
 
Huu mwaka wa nane nawaomba TANESCO umeme wanagoma.........hili shirika lina wenye nalo
Ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tafadhali tumia mfumo wa NIKONEKT app au USSD code *152*00# kufanya maombi utahudumiwa.^OK
 
Ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tafadhali tumia mfumo wa NIKONEKT app au USSD code *152*00# kufanya maombi utahudumiwa.^OK
mimi mbona hamnijibu kuhusu hiyo 698000 ya nguzo 3 na nipo kijijini sehemu ya 27000?
 
mimi mbona hamnijibu kuhusu hiyi 698000 ya nguzo 3 na nipo kijijini sehemu ya 27000?
Hautojibiwa mkuu issue yako ni complicated kidogo.Nguzo tatu kwa Tsh. 27000/= hautofanikiwa kabisa kama mradi ulishatekelezwa hapo basi utasunbri sana jiongeze tu umeme ni muhimu sana
Tanesco tunaangazia maisha yako!
 
Na hizo billions za kila mwaka wanazofugia vyura marekani si waje waweke nguzo tatu? maana hata nikilipia 698000 bado nguzo zinaendelea kuwa mali yao!
 
Mimi kuna Surveyor alikuja akanifanyia Tathimini ya kuwekewa Nguzo 2... Mafundi walivyokuja kufunga umeme wakaweka Nguzo moja na nyingine wakaondoka nayo...nilivyowaambia Nguzo yangu kama hawaifungi waiache manake nimeilipia kwenye quotation nilyopewa kutokana na recommendation ya surveyor wao...wakaniambia surveyor alikosea...nilivyowaambia nitaenda kwa meneja wao kuomba refund wakaniomba nisifanye hivyo ili wapate ufumbuzi...mpaka leo ni miezi takribani 7..hakuna response...najipanga kuipereka Tanesco mahakamani hili haki yangu ipatikane, manake nilichofanyiwa ni ujambazi ..na pesa nililipa over 1.6m kwa connection ya 3 phase...yaani Nguzo moja ya mti kutoka Iringa na cable wire isiyozidi MITA 14 nalilipishwa savings yangu ya miezi 16.
 
mimi mbona hamnijibu kuhusu hiyi 698000 ya nguzo 3 na nipo kijijini sehemu ya 27000?
Ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupita ukurasa huu, ili kujua gharama halisi ni lazima mtaalamu wetu afike kufanya tathmini ndipo ufanye malipo, miradi ya REA inayo fanyika vijijini kiwango cha kulipia huanzia 27,000 lakini pia tathmini ya mwisho hutolewa baada ya mtaalamu kupima na kufanya tathmini.^OK
 
Baada ya kufanya tathmini ndio mnamlipisha mteja pesa nyingi na wakati miundombinu mnayomlipisha inabaki kuwa mali yenu? kwanini msiwaunganishie huduma wateja kwa gharama nafuu ili muongeze wateja wa luku? au hamna umeme wa kuwatosha watu wote ndio maana mnawapa masharti magumu ambayo mna uhakika hawawezi kuyatimiza?
 
Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi?

Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
Nchi ngumu hii ukimpa sarveyor Buku 10 akale na familia Unapungukiwa Nini??
 
Nchi ngumu hii ukimpa sarveyor Buku 10 akale na familia Unapungukiwa Nini??
Bora wangekua wanakubali hiyo 10k...mimi wangu alitaka nimsafirishe kutoka na kurudi ofisini kwake kuja site. Na baada ya hapo akavuta 50k, Eti alifanyie Kazi haraka file langu ili niweze kufungiwa umeme.
 
Tengeneza critical question ufungiwe umeme baada ya miezi 11.

Utapoteza muda wewe hadi ujute,shida ya nchi hii hakuna anayemwajibisha mwenzake so hata ukienda kulalamika kwa wa juu yake anakwambia andika malalamiko yalete ofisini ukipeleka unapangiwa siku ya kusikilizwa huo muda wa kupoteza hivi unautoa wapi?
Hakika hizi mambo ukihoji kwa kujua utasugua benchi sana
 
Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi?

Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
TANESCO
 
RUSHWA HIYO MKUU IKIMPA MDAI RISITI EFD
 
Back
Top Bottom