Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,988
- 30,183
Habari wadau,
Nina ndugu yangu mkazi wa Kongowe hii ya Mbagala anasema amelipia umeme toka mwaka jana 2021 mwezi wa nane Ile 27,000 lakini mpaka Leo anazungushwa Tu kufungiwa umeme. Kauliza tatizo nini kaambiwa eti Nguzo hakuna ina maana miti yote Ile iliyojaa iringa au Yale yaliyokua yanasemwa kuwa wameanza agiza tena sauzi Nguzo baada ya kufariki magu ni kweli.
Kila akifuatilia amekua anapigwa Danadana kuwa vifaa hakuna je Wabunge wanajua kua raia wao wanateseka wakati hela wamelipia, TANESCO hebu tujibu tatizo lipo wapi wajue. Wiki iliyopita aliwaambia yupo tayari kununua Nguzo yake mtaani mkasema shida ni Mita hazipo, au mnafanya makusudi ili mama samia aonekane hafai? TANESCO najua mtakuja na kujifanya kutaka details zake ili mumuuze sitawapa nyie tendeni haki Kwa wote.