TANESCO imechukua hela zetu lakini haitaki kutufungia Umeme

TANESCO imechukua hela zetu lakini haitaki kutufungia Umeme

Vitambulisho vya NIDA tu kuvipata nitatizo,miaka nenda rudi,Tanesco shida.Uchumi wa kati tupo
Ndugu Mpendwa Mteja wetu!

Tunashukuru kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja, Tafadhali onyesha taarifa kamili zitakazotuweza kufatilia na kufanyia kazi taarifa zako kwa mfumo ulionyeshwa hapo chini:-

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa kama ulitoa taarifa

Tunashukuri kwa ushirikiano wako,

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

Mawasiliano: 0748550000
 
Ni lini mnaanza kufungia wateja umeme waliolipia. Kwanini iwe shirika Lenu linatuhumiwa Kwa rushwa
 
Mimi kuja kupimiwa tu na surveyor ilikua ni ishu, anataka alipiwe nauli na apewe cha juu
 
Sheria inasemaje kwa mtu avunjae mkataba lakini🤣
 
Back
Top Bottom