Tunashukuru kwa taarifaHabari wadau,
Nina ndugu yangu mkazi wa Kongowe hii ya Mbagala anasema amelipia umeme toka mwaka jana 2021 mwezi wa nane Ile 27,000 lakini mpaka Leo anazungushwa Tu kufungiwa umeme. Kauliza tatizo nini kaambiwa eti Nguzo hakuna ina maana miti yote Ile iliyojaa iringa au Yale yaliyokua yanasemwa kuwa wameanza agiza tena sauzi Nguzo baada ya kufariki magu ni kweli.
Kila akifuatilia amekua anapigwa Danadana kuwa vifaa hakuna je Wabunge wanajua kua raia wao wanateseka wakati hela wamelipia, TANESCO hebu tujibu tatizo lipo wapi wajue. Wiki iliyopita aliwaambia yupo tayari kununua Nguzo yake mtaani mkasema shida ni Mita hazipo, au mnafanya makusudi ili mama samia aonekane hafai? TANESCO najua mtakuja na kujifanya kutaka details zake ili mumuuze sitawapa nyie tendeni haki Kwa wote.
Tafadhali pokea taarifa rasmi kutoka kwa Shirika lako la Umeme Nchini (TANESCO) wateja wote waliofanya malipo kabla ya mabidiliko ya bei yaliyotangazwa tarehe 5/01/2022 tutawaunganishia umeme kabla ya tarehe 30/03/2022 bila ongezeko la gharama zozote27k utakaa sana
alipie 320k, chap wiki wanakuja
Hii tarehe 30/3/2022 hakikisha mameneja wote wanajua hili maana ubabaishaji unaanzia kwa mameneja na watendeji wao.Tafadhali pokea taarifa rasmi kutoka kwa Shirika lako la Umeme Nchini (TANESCO) wateja wote waliofanya malipo kabla ya mabidiliko ya bei yaliyotangazwa tarehe 5/01/2022 tutawaunganishia umeme kabla ya tarehe 30/03/2022 bila ongezeko la gharama zozote
TANESCO tunayaangaza Maisha Yako
Acha kupotosha jamii tafadhaliBongo bila kutembeza hela hupati msaada
Lazima jamaa atoe maji ya kunywa
Ova
Na hii ni Kwa wale ambao hawahitaji Nguzo katika kuunganisha ndio majibu aliyapata pale ofisini Ila kama inahitaji Nguzo ni kusubiri mpka zitoke Afrika kusini ndio wataunganishiwa.Tafadhali pokea taarifa rasmi kutoka kwa Shirika lako la Umeme Nchini (TANESCO) wateja wote waliofanya malipo kabla ya mabidiliko ya bei yaliyotangazwa tarehe 5/01/2022 tutawaunganishia umeme kabla ya tarehe 30/03/2022 bila ongezeko la gharama zozote
TANESCO tunayaangaza Maisha Yako
Ndugu mpendwa Mteja wetuHii tarehe 30/3/2022 hakikisha mameneja wote wanajua hili maana ubabaishaji unaanzia kwa mameneja na watendeji wao.
AiseAcha kupotosha jamii tafadhali
Anayetoa na kupokea rushwa wote ni wakosefu, Tunawasihi kufata taratibu na kutoa taarifa pale unapokutana na changamoto yeyote badala ya kutoa ndio uje useme, wakati mwingine mteja analipa kwa mkandarasi wake wa umeme anasema ametoa TANESCO, zingatia malipo yote yanalipwa kwa kutumia control number.
Ni woteNa hii ni Kwa wale ambao hawahitaji Nguzo katika kuunganisha ndio majibu aliyapata pale ofisini Ila kama inahitaji Nguzo ni kusubiri mpka zitoke Afrika kusini ndio wataunganishiwa.
REF:FA12051069729487 JACKILIN I NJOU umefanikiwa kulipia Bill Number 378 BILL:991032726258 TZS27000 RECEIPT:921205059122202 2021-07-24 09:09:33.Tunashukuru kwa taarifa
Tafadhali tuoneshe taarifa kamili kwa ufatiliaji na hatua zaidi
Aliandika namba ya simu ipi kwenye maombi yake
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
Ndio wanataka Rushwa Mkuu we jiongeze lasivyo utasubiri sana na utaishia kuona majirani ndio wana angaziwa maisha yao, maana hawa jamaa siku zote waga wanadai wana upungufu wa nguzo, sa ili upate hizo hizo nguzo chache inabidi uchangamkeREF:FA12051069729487 JACKILIN I NJOU umefanikiwa kulipia Bill Number 378 BILL:991032726258 TZS27000 RECEIPT:921205059122202 2021-07-24 09:09:33.
Hii nmelipia toka mwezi wa saba mwaka jana Mabwepande lakini kila nikifwatilia pale Tanesco Tegeta mara waseme nguzo hakuna siku nyingine naambiwa Mita za mabwepande hazipo alafu ukiangalia nguzo imepita upenuni kwangu kama wanataka Rushwa waseme alafu nilio watangulia naona wanafungiwa umeme