dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
bila kujiongeza utasubiria miezi saba mingineREF:FA12051069729487 JACKILIN I NJOU umefanikiwa kulipia Bill Number 378 BILL:991032726258 TZS27000 RECEIPT:921205059122202 2021-07-24 09:09:33.
Hii nmelipia toka mwezi wa saba mwaka jana Mabwepande lakini kila nikifwatilia pale Tanesco Tegeta mara waseme nguzo hakuna siku nyingine naambiwa Mita za mabwepande hazipo alafu ukiangalia nguzo imepita upenuni kwangu kama wanataka Rushwa waseme alafu nilio watangulia naona wanafungiwa umeme
Tafadhali onesha namba ya simu uliyoandika kwenye fomu yako kwa hatua zaidiNdio wanataka Rushwa Mkuu we jiongeze lasivyo utasubiri sana na utaishia kuona majirani ndio wana angaziwa maisha yao, maana hawa jamaa siku zote waga wanadai wana upungufu wa nguzo, sa ili upate hizo hizo nguzo chache inabidi uchangamke
Usiridhike na vimaneno vya huyu admin wa Tanesco humu jf ni mnafki tu, ye anachofanya ni kutekeleza majukumu yake nyuma ya keyboard ya kutufariji ila kiuhalisia anajua kabisa kuwa mkono mtupu haulambwi
Tafadhali onesha namba ya simu uliyoandika kwenye fomu yako kwa hatua zaidi
Wacha tusubiri tuone....... Tarehe 30 sio mbaliTafadhali pokea taarifa rasmi kutoka kwa Shirika lako la Umeme Nchini (TANESCO) wateja wote waliofanya malipo kabla ya mabidiliko ya bei yaliyotangazwa tarehe 5/01/2022 tutawaunganishia umeme kabla ya tarehe 30/03/2022 bila ongezeko la gharama zozote
TANESCO tunayaangaza Maisha Yako
Yule Kalemani nlikua simpendi Kwa vile yupo CCM Ila alikua mtekelezaji haswa kuliko uyu wa sasa Twitter darling yaan, kwa kifupi tumepigwa. Wanataka Nguzo zao kutoka sauzi ambazo wamenunua pale iringa zije watupigeMie nishaletewa umeme Mkuu baada ya kujiongeza, endelea kuwafariji wateja ambao wanasubiri haki itendeke, haiingii akilini mtu alielipia tangu July bado anasubiri ila alielipia November ameletewa na wanakaa mtaa mmoja alafu suluhisho liwe ni kukuandikia namba ya simu hapa jamii forum eti ndio mtu apate Msaada ilhali anaenda ofisini na hapati Msaada wowote Zaidi ya kuambiwa nguzo hakuna sa sijui hao wanaoleletewa walienda na nguzo zao Tanesco
Pole Sana aseee nakuambia apo mpk watoke hawa wapigaji ndo tutapata umeme nakuambia ulio imara, najiuliza Ile treni ya SGR kama inategemea umeme huu c ipo siku utajikuta katikati ya msitu mmekatikiwa umemeREF:FA12051069729487 JACKILIN I NJOU umefanikiwa kulipia Bill Number 378 BILL:991032726258 TZS27000 RECEIPT:921205059122202 2021-07-24 09:09:33.
Hii nmelipia toka mwezi wa saba mwaka jana Mabwepande lakini kila nikifwatilia pale Tanesco Tegeta mara waseme nguzo hakuna siku nyingine naambiwa Mita za mabwepande hazipo alafu ukiangalia nguzo imepita upenuni kwangu kama wanataka Rushwa waseme alafu nilio watangulia naona wanafungiwa umeme
Ni kweli nguzo zinatoka afrika kusini?Ni wote
Tumejipanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie jamaa muda mwingine mnaniachaga hoi sana[emoji12][emoji12]duh kama kweli hivi mpo serious na kazi[emoji154][emoji154]kumbe[emoji24][emoji24][emoji24]Tafadhali onesha namba ya simu uliyoandika kwenye fomu yako kwa hatua zaidi
Kama wako seeious vile kumbe hamna loloteTunashukuru kwa taarifa
Tafadhali tuoneshe taarifa kamili kwa ufatiliaji na hatua zaidi
Aliandika namba ya simu ipi kwenye maombi yake
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
Tupo kukuhudumia onesha taarifa kamili tafadhaliKama wako seeious vile kumbe hamna lolote
Tupo kukuhudumia onesha taarifa kamili tafadhali
Malalamiko ni mengi nchi nzima hata mkipewa hapa taarifa hakutakua na msaada. Mtu nyumba yake imeisha ila anashindwa kuhamia kisa umeme. Umeme unaombwa utafikiri unatolewa nchi jiraniTupo kukuhudumia onesha taarifa kamili tafadhali
Mpaka sasa haujasema unalalamikia nini ili tukuhudumieMalalamiko ni mengi nchi nzima hata mkipewa hapa taarifa hakutakua na msaada. Mtu nyumba yake imeisha ila anashindwa kuhamia kisa umeme. Umeme unaombwa utafikiri unatolewa nchi jirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah haya asante kwa hudumaMpaka sasa haujasema unalalamikia nini ili tukuhudumie
Ndugu Mteja!Bei ya kuvutiwa umeme kwa mijini bei ikoje kwa single phase?
Je, 3phase pia kwa sh ngapi?
Umesha piga K vant zako unakuja kuwajibu watu humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] shirika la hovyo tokea Dunia iuumbweTupo kukuhudumia onesha taarifa kamili tafadhali
Ndugu Mteja!
Zifuatazo ni gharama halisi za kuunganishiwa umeme kuanzia tarehe 5/02/2022
[emoji3578]Gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 320,960/=,
[emoji3578] Mteja wa njia moja ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=,
[emoji3578]Umbali wa njia moja ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 696,670/=
[emoji3578]Aidha, gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia tatu kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 912,014/=,
[emoji3578] Mteja wa njia tatu ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=,
[emoji3578]umbali wa njia tatu ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,639,156/=.
Zingatia
Gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/= kama ilivyoelekezwa na EWURA.
NB: Gharama zote zimejumuisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT).