Ndugu Mpendwa Mteja wetu!
Tunashukuru kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja, Tafadhali onyesha taarifa kamili zitakazotuweza kufatilia na kufanyia kazi taarifa zako kwa mfumo ulionyeshwa hapo chini:-
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa kama ulitoa taarifa
Tunashukuri kwa ushirikiano wako,
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
Mawasiliano: 0748550000