TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

upendeleo sio lazma ujenge airport kijijini kwenu
 
Hivi deni likisamehewa,lazima kutakuwa na mtu analilipa.. maanake either utozeshe kodi mpya (umeme unaongezwa bei ) au ukope ufidie, serikali iingie deni jingine na taasisi za kifedha (deni la taifa linaongezeka)..

Anyway kama sisi tunavyoomba tozo zifutwe, Zanzibar wana haki, hii serikali na wizara ni za muungano sio ya waTanganyika.
 
Huu ni uhujumu uchumi, kwa sababu uwezo wa kulipa hizo pesa upo lakini kwa kua dada yao ndio kashikishwa kijiti basi anafanya atakalo, kama wame shindwa kulipa hilo deni tanesko Wana uhakika gani kwamba watalipwa bili mpya itakayo tolewa? Kwani kule kwa waarabu koko wanatumia umeme bure? Kama wana nunua luku hiyo pesa inakwenda wapi? 🤔🤔Hivi huu upambavu utakwisha lini lakini, alafu na yeye eti anahubiri maendeleo kwa upumbavu kama huu 😡😡😡😡
 
Nani kama MAMAAA NANI KAMA MAAA.
Matanganyika mengi ni mazuzu. Na wakati huu Marais wote kutoka nchi za kigeni heheeee hakuna mwenye uchungu wanavuna hadi visivyo komaa wanapeleka kwao.
Tuliosoma HISTORY ADVANCE TANGANYIKA kwa sasa ndio ile Africa ambayo BAZUNGU walikuwa wanakuja kipindi cha MERCANTILISM, ktk stage ya Prundering wakijibea kila kitu watakacho shamba la bibi.
Kama saa hizi imejazana Uwanjani kuangalia mpira wa Yanga huku ma majizi ya ccm yanafilisi nchi hayana habari.
Ndugai alibaelezea ninyi ma Zuzu nchi mtakuja mstuke imepigwa mnada lakini misukule kazi yao kubishana tuu Simba Yanga
 
Bei ya kuunganishwa umeme Zanzibar ni Tz 27,000 tu. Na Mzanzibar akichelewa kulipa bili ya TANESCO wanamfutia deni!!
Du
 
Ila Bara kuunganishiwa umeme kwa 27000 ni hasara kwa TANESCO.
 
Kwanini tunawabeba sana hawa wala urojo?
 
Amesema haya neno wapi na lini?
 
Unit iwe hata Ths 120 maisha ya kuni na mkaa tutayaacha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…