TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

Kwa kweli wazanzibari wamejua kutukomesha na hawana huruma
 
Hawa jamaa tunawabeba kwakila kitu alafu kilasiku wanapiga kelele za kuvunja Muungano. Kama vipi uvunjwe tu na Tanganyika yetu ifufuke
 
Zanzibar ni kupe kwa Tanganyika!
 
Zanzibar kila kitu wao kipo chini sisi huku ndiyo tunapigwa
 
Wala urojo umeme wanatumia bure na hawana mgao,sisi tunaolipa tena prepaid tunalazwa giza. Hii dhambi kubwa sana. Ifike wakati huu Muungano wa mchongo uvunjike tu. Mama Abdul anayoyafanya inatosha kabisa kuvunja huu muungano
 
Zenji hatuna huo uwezo wa kulipa huo umeme na wala hatuna nia ya kuja kulipa.
Hayo ndio matunda ya muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…