TANESCO imetosha, tukutane mahakamani

Ndio hivyo mkuu.Sema wengi upeo wa kuona Mambo ni mfupi.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Sawa

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mimi nipo na mleta mada afungue kesi, kesi yake itatupa mwanga wengine, ni uthubutu wa Hali ya juu.

Kushinda au kushindwa kwake kuta kuwa ndio mwanzo wa kesi nyingine ya ushindi

Wahanga ni wengi sio rahisi kila mtu akakosa vigezo
Sawa kabisa mkuu.Wenzetu nchi zilizoendelea Taasis mbovu km hii inaburuzwa tu Mahakamani na Wananchi wa Kawaida,na inapewa adhabu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Radio yangu pia ilipata shida ase kwasababu ya umeme walikata na kurudisha fasta fasta kama mara 5
 
Ngoja nikopi kabisa hizo nondo nikatajirike kwa ujinga wao
 
Umenisanua
 
Kuishitaki TANESCO ni sawa na Afrika kusini anavyoishitaki Israel.
Watakuambia Wiring umefanya wewe au TANESCO? Kama ulitumia mafundi baki kufanya Wiring hapo hakuna kesi ndugu, hiyo hela kanunue vifaa vingine
 
Wameshaunguza dikoda yangu tayari.

Kwa siku wanakata na kurudisha zaidi ya mara kumi huku wilaya ya Bunda. TANESCO shida ipo wapi?

Serikali ichukue hatua dhidi ya haya maumivu tunayopata. Hasara imekuwa nyingi
 
Kabisa
Nipo nyuma yako😶
 
Bunda huku hawa TANESCO kila siku ni maumivu alafu bado kuna watu wanachekewa! Umeme huku ni mgao na mvua zipo nyingi
Mnapenda kukatisha tamaa watu kijinga sana jamaa akiwashtaki anawashinda mchana kweupe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…