TANESCO imetosha, tukutane mahakamani

TANESCO imetosha, tukutane mahakamani

Umeona eeehh?!
Yale ya maji hayatoki DAWASA, chimba kisima!
Yale ya foleni barabarani tanuwa!
Yale ya elimu mbovu ya serikali, peleka private!
Yale ya huduma za afya mbovu, nenda private hospitals!
Yale ya hakuna traffic police, nenda speed au overtake HOVYO HOVYO!
Ndio akili zetu, badala kutaka wahusika wawajibike!
ChumaChakoMapema watafia madarakanj TZ!
Ndio hivyo mkuu.Sema wengi upeo wa kuona Mambo ni mfupi.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Ukisoma post yangu kwa utulivu, utagundua niko VERY POSITIVE na Move ya jamaa. Infact nimeonyesha faida ya kesi hii kuwa ITAAMSHA UFAHAMU KWA UMMA.

Hizo nilizompa ni hints tu za kuzingatia katika shauri lake hilo. Kama tafsiri yako ni kuwa nimemkatisha tamaa, it's very unfortunate!
Sawa

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mimi nipo na mleta mada afungue kesi, kesi yake itatupa mwanga wengine, ni uthubutu wa Hali ya juu.

Kushinda au kushindwa kwake kuta kuwa ndio mwanzo wa kesi nyingine ya ushindi

Wahanga ni wengi sio rahisi kila mtu akakosa vigezo
Sawa kabisa mkuu.Wenzetu nchi zilizoendelea Taasis mbovu km hii inaburuzwa tu Mahakamani na Wananchi wa Kawaida,na inapewa adhabu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Radio yangu pia ilipata shida ase kwasababu ya umeme walikata na kurudisha fasta fasta kama mara 5
 
Hata usiposhinda, utaweka ufahamu kwa umma.

Hakikisha.
1. Jengo hilo lina kibali cha ujenzi.
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco. i.e Uwe na Mkataba naye wa Kumpa kazi ya Wiring.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.

All the best!
Ngoja nikopi kabisa hizo nondo nikatajirike kwa ujinga wao
 
Hata usiposhinda, utaweka ufahamu kwa umma.

Hakikisha.
1. Jengo hilo lina kibali cha ujenzi.
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco. i.e Uwe na Mkataba naye wa Kumpa kazi ya Wiring.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.

All the best!
Umenisanua
 
TANESCO enough is enough, tutakutana mahakamani baada ya kufanikiwa kupata wadau na kufungua kesi ya madai aina ya (class act)!

Fridge imekufa kwa ukataji umeme HOVYO!

Radio, ya kuchaji, tv, simu, vitoweo vimeoza mpaka tumeamua kununuwa na kula vya siku baada ya siku.

Kazi zangu na za mama watoto kudoda hasa zile za working from home, watoto kutokumaliza homework, kupiga pasi nk nk
Tumechoka.

Na liwe na liwalo!

ENOUGH IS ENOUGH

TANESCO !
Kuishitaki TANESCO ni sawa na Afrika kusini anavyoishitaki Israel.
Watakuambia Wiring umefanya wewe au TANESCO? Kama ulitumia mafundi baki kufanya Wiring hapo hakuna kesi ndugu, hiyo hela kanunue vifaa vingine
 
Wameshaunguza dikoda yangu tayari.

Kwa siku wanakata na kurudisha zaidi ya mara kumi huku wilaya ya Bunda. TANESCO shida ipo wapi?

Serikali ichukue hatua dhidi ya haya maumivu tunayopata. Hasara imekuwa nyingi
 
TANESCO enough is enough, tutakutana mahakamani baada ya kufanikiwa kupata wadau na kufungua kesi ya madai aina ya (class act)!

Fridge imekufa kwa ukataji umeme HOVYO!

Radio, ya kuchaji, tv, simu, vitoweo vimeoza mpaka tumeamua kununuwa na kula vya siku baada ya siku.

Kazi zangu na za mama watoto kudoda hasa zile za working from home, watoto kutokumaliza homework, kupiga pasi nk nk
Tumechoka.

Na liwe na liwalo!

ENOUGH IS ENOUGH

TANESCO !
Kabisa
Nipo nyuma yako😶
 
Back
Top Bottom