Perfectbernie
Member
- May 7, 2022
- 6
- 15
Nchi hii msipoamua kuinipa mimi niiongoze hamtokuja kupata maendeleo yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo mkuu.Sema wengi upeo wa kuona Mambo ni mfupi.Umeona eeehh?!
Yale ya maji hayatoki DAWASA, chimba kisima!
Yale ya foleni barabarani tanuwa!
Yale ya elimu mbovu ya serikali, peleka private!
Yale ya huduma za afya mbovu, nenda private hospitals!
Yale ya hakuna traffic police, nenda speed au overtake HOVYO HOVYO!
Ndio akili zetu, badala kutaka wahusika wawajibike!
ChumaChakoMapema watafia madarakanj TZ!
SawaUkisoma post yangu kwa utulivu, utagundua niko VERY POSITIVE na Move ya jamaa. Infact nimeonyesha faida ya kesi hii kuwa ITAAMSHA UFAHAMU KWA UMMA.
Hizo nilizompa ni hints tu za kuzingatia katika shauri lake hilo. Kama tafsiri yako ni kuwa nimemkatisha tamaa, it's very unfortunate!
Sawa kabisa mkuu.Wenzetu nchi zilizoendelea Taasis mbovu km hii inaburuzwa tu Mahakamani na Wananchi wa Kawaida,na inapewa adhabu.Mimi nipo na mleta mada afungue kesi, kesi yake itatupa mwanga wengine, ni uthubutu wa Hali ya juu.
Kushinda au kushindwa kwake kuta kuwa ndio mwanzo wa kesi nyingine ya ushindi
Wahanga ni wengi sio rahisi kila mtu akakosa vigezo
Ngoja nikopi kabisa hizo nondo nikatajirike kwa ujinga waoHata usiposhinda, utaweka ufahamu kwa umma.
Hakikisha.
1. Jengo hilo lina kibali cha ujenzi.
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco. i.e Uwe na Mkataba naye wa Kumpa kazi ya Wiring.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.
All the best!
Usifananishe kichwa Maji na vitu vya kijinga mkuuWabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
UmenisanuaHata usiposhinda, utaweka ufahamu kwa umma.
Hakikisha.
1. Jengo hilo lina kibali cha ujenzi.
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco. i.e Uwe na Mkataba naye wa Kumpa kazi ya Wiring.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.
All the best!
Kuishitaki TANESCO ni sawa na Afrika kusini anavyoishitaki Israel.TANESCO enough is enough, tutakutana mahakamani baada ya kufanikiwa kupata wadau na kufungua kesi ya madai aina ya (class act)!
Fridge imekufa kwa ukataji umeme HOVYO!
Radio, ya kuchaji, tv, simu, vitoweo vimeoza mpaka tumeamua kununuwa na kula vya siku baada ya siku.
Kazi zangu na za mama watoto kudoda hasa zile za working from home, watoto kutokumaliza homework, kupiga pasi nk nk
Tumechoka.
Na liwe na liwalo!
ENOUGH IS ENOUGH
TANESCO !
Anakatishwa tamaa au anaambiwa ukweli ulitaka wamjaze ujinga?Wabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Badilisha fuse, stabilizer haiwezi kuunguwa fuse ndio inaunguwa.Kwa umeme huu wa TANESCO mimi mpaka Stabilizer imeungua
...Kama Umeme ungekuwa wa Uhakika, Stabilizer ni Kifaa Cha Dharura TU....[emoji848][emoji848]Pesa ya Wakili ungenunuwa stabilizer na fridge guard wala usingetokwa na mapovu Saa hizi.
Umeichangia vipi kuwa taasisi BoraWabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
KabisaTANESCO enough is enough, tutakutana mahakamani baada ya kufanikiwa kupata wadau na kufungua kesi ya madai aina ya (class act)!
Fridge imekufa kwa ukataji umeme HOVYO!
Radio, ya kuchaji, tv, simu, vitoweo vimeoza mpaka tumeamua kununuwa na kula vya siku baada ya siku.
Kazi zangu na za mama watoto kudoda hasa zile za working from home, watoto kutokumaliza homework, kupiga pasi nk nk
Tumechoka.
Na liwe na liwalo!
ENOUGH IS ENOUGH
TANESCO !
Mnapenda kukatisha tamaa watu kijinga sana jamaa akiwashtaki anawashinda mchana kweupe!!Pesa ya Wakili ungenunuwa stabilizer na fridge guard wala usingetokwa na mapovu Saa hizi.
wasomi wetu ndo hawa,Pesa ya Wakili ungenunuwa stabilizer na fridge guard wala usingetokwa na mapovu Saa hizi