TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu
Viongozi wa bara la Ulaya na Asia kama vile Waziri mkuu wa India Narendra anamkubali sana Rais Samia
 
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Samia oooyeeeeee
JPM hakuwa mzalendo? Kama hakuwa mzalendo basi ujue kila anayekuwa madarakani lazima anakuwa na watu wanaomwona ni mzalendo hata kama kwa wengine ni dikteta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…