TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Kama Tanesco inataka kufa basi waanze kukopesha umeme. Hiyo shilingi 3,000 unayoidharau chukulia watu 10,000 wamekopa umeme na hawajalipa. Unafikiri wamepoteza kiasi gani cha fedha? Fedha ambayo utaipata kwa siku moja, uipate kwa siku 10 si utopolo tena kwa faida ndogo.
Siyo kila ushauri unafaa. Km mm mtanzania ambaye naipenda TANESCO wasijekujaribu kukopesha umeme sababu madeni hufilisi. Kama wanataka kufa kifo cha mende basi wajaribu kukopesha umeme.
Km wanataka kupata pesa waboreshe huduma zao na kisha wapandishe bei ya umeme.
Wakaulize TALA, BRANCH na mitandao ya simu wamepoteza kiasi gani kwenye kukopesha.
Mpaka hapo ilipo tu shirika linajiendesha kwa mbeleko ya serikali kuu kwa madeni kibao linalodaiwa
 
Always ndio naskiaga hayo malalamiko juu ya Tanesco! Si wanalipia mitambo gani ile ya kufua umeme
Hao jamaa wanakudanganya. TANESCO ni monopoly hivyo hawezi kupata hasara hata siku moja.
 
Nimefuatilia huu uzi

Ki msingi hii huduma haiwezekani

Sababu.

Mita ya luku inatumika nawatu wengi si mtu mmoja. Mfano mm nikope umeme wa elfu mbili nani atakuja kuipa? je ni mtu mwingine anaekuja kununua umeme kwa mita hiyohiyo??

Labda kuwe na authrized number moja ya simu ambayo itaruhusiwa kukopa,

otherwise watu watakataa madeni kwa kusema yalikopwa na watu wengine
 
Objectives za Tanesco ni kutengeneza Profit as much as Possible au Kuwapa watu huduma as cheaply as practically possible ?

Yaani hata wasipotengeneza hata senti na waka-break even na kila mtu kupata umeme kwa gharama ndogo watakuwa wamefaulu kuliko kutengeneza faida ila watumiaji kulipia zaidi...
 
Sijui mkuu
 
Nimefuatilia huu uzi

Ki msingi hii huduma haiwezekani

Sababu.

Mita ya luku inatumika nawatu wengi si mtu mmoja. Mfano mm nikope umeme wa elfu mbili nani atakuja kuipa? je ni mtu mwingine anaekuja kununua umeme kwa mita hiyohiyo??

Labda kuwe na authrized number moja ya simu ambayo itaruhusiwa kukopa,

otherwise watu watakataa madeni kwa kusema yalikopwa na watu wengine
You can't be serious
 
Huko ni kurudisha maendeleo nyuma tu na kuleta urasimu tu mambo yaende hivi hivi
Ni safi
Hiyo huduma ikianza leo kwa mfano baada ya mwezi utakuta umeme wa mabilioni umeshatumika na hela ziko kwa wananchi tofauti na sasa wanapata hela yao kwa wakati na kuweza kufanya uzalishaji mwingine
 
Vp kuhusu faida itakayotokana na riba?
 
Back
Top Bottom