TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Ushauri kwanini tanesco isitumie wakandarasi kila miji na wilaya ili kuharakisha usambazaji wa umeme kama REA?
MJIFUNZE KWA MAKAMBUNI YA SOLA KAMA MOBISOL yaaani ukiomba ndani ya siku mbili umeunganishiwa tena mpaka wiring.
Pili mameneja wa wilaya wapimwe kwa kufanyiwa tathimini ameunganisha kaya ngapi katika miji na wilaya umeme.kama atakuwa kaya nyingi hazijaungunishwa ajipime .tatu naomba waajiriwe maafisa mauzo kila wilaya ili waweze kufanya sensa kaya ambazo hazina umeme ili zisambaziwe umeme ,pia wilaya ziwe na store za vifaa siyo mpaka vifaa mkoani hii inachelewesha kuunganisha mteja.kama haiwezekani kulipa 27,000 basi waje na mpango wa kukopesha wateja kwani idara ya maji wameweza hili.waziri anahubiri umeme wa 27,000 lakini watendaji wanasema hiyo ni ndani ya mita 30 tu baada ya hizo mita ni nguzo moja 27,000 na kuendelea. MOBISOL Wameweza kukopesha umeme mpaka wa 4,000,000 je tanesco wanashindwa nini kukopesha wateja wao watakao tumia umeme milele?
 
Huu pia ni ushauri mzuri. Asante sana mkuu.
 
Eeh we huwajui wabongo wewe! Kama Mpesa na Tigopesa walianza kununua vifurushi juu kwa juu ili mtu asilipe 1500 tu unaona watashindwa kutumia vibatari kweli
Kwa sasa kifurushi kinakatwa juu kwa juu.


Watz walimchukia Profesa John Pombe Magufuli kwa sababu alikata shortcuts zao
 
Asante Samia umejua kuwatumikia Watanzania 2025 tutakupa kura zote.
Rais Samia hata asingepiga kampeni mwaka jana 2020 ushindi ulikuwa ni 90%. Rafiki zetu wa CHADEMA waliula wa chuya na hawakupata hata wabunge 5 tu.
 
Rais Samia hata asingepiga kampeni mwaka jana 2020 ushindi ulikuwa ni 90%. Rafiki zetu wa CHADEMA waliula wa chuya na hawakupata hata wabunge 5 tu.
Rais Samia Mungu amlinde sana mama yetu huyu kipenzi kutoka Zanzibar.
 
Bado mna akili za kukaririshwa tu?
Wabunge kwa siku wanajilipa posho ya laki 2, bado marupurupu na mshahara wenyewe. Ukipiga hesabu ni kama wanapewa milioni 2 hiyo hela chini.
Wewe. Mwenzangu masikini, uliyesoma shule za kayumba bado mnaendelea kukaririshwa tu. Tanzania bado kuna wajinga wengi sana. Metoka kwa Magufuli sasa hivi mehamia kwa Samia.
Wanaompinga Rais Samia ni mafisadi, majizi,wauza madawa ya kulevya na wapiga dili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…